Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi juzi nilikuwa nashangaa wanaoumwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo utani,maana wiki iliyopita sister katoka job,kavua zake nguo mie nikazikusanya,akaniambia nisiziguse kashinda job kuhudumia mgonjwa was corona[emoji16]

Kimbembe kwake sasa,hazikupita siku mbili,alikuwa anakohoa,mafu,mwili kuchemka,kutokuwa na hamu ya kula,vipimo wakamwambia Hana homa
 
Nilichanganya madesa kidogo. Nilifikiri unamwongelea mjukuu wangu. Nilipong'amua kosa langu nimerudi na kurekebisha post yangu...

Yote kwa yote nakushauri uepuke makofi ya aina yo yote mpaka utakapopona sawasawa [emoji16]
Unajua ule mkono wake sio mchezo!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Utasikia nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano; kiitikio "..kazi iendeleee"
[emoji991][emoji1241]
IMG_20211217_160519_636.jpg
 
Siyo utani,maana wiki iliyopita sister katoka job,kavua zake nguo mie nikazikusanya,akaniambia nisiziguse kashinda job kuhudumia mgonjwa was corona[emoji16]

Kimbembe kwake sasa,hazikupita siku mbili,alikuwa anakohoa,mafu,mwili kuchemka,kutokuwa na hamu ya kula,vipimo wakamwambia Hana homa
Mimi ilianza koo wiki nzima linanikereketa.

Jana kitu kilivyo jibu nikasema tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jinsi ninavyozoa jasho la watu kwenye daladala kuumwa ni halali yangu.
 
Yaani sister akaniambia job kwao wametangaziwa corona imeanza upyaaa,

Kwa dar na daladala ni shida,corona nje nje
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaogopa,wala usiogope[emoji41]
We hunambii kitu, nilishawahi kujichanganya nikaingia kwenye anga zao! Kilichonikoa ni mbio zangu!! Maana nilichomoka Usain Bolt anasubiri! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom