[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol.[emoji3][emoji3][emoji6][emoji4][emoji4]hapana nlipoteza passwod na email mmesahau nkajaribu kuwasiliana na mtu wa jf majibu alonipa sina hamu.. Sijui alikua ma stress that day!![emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]nkafungua ingine
Ila we mzee dikteta kweli!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Chochea Range lako umfuate huko Kusini. Ulitegemea kweli nimuache wakati usharudi? Hata kule ulikokuwa unaimbisha kwa Kiarabu bado nina wasiwasi nako. Sijui huko nitafanyeje [emoji16]
Safi sanaHahahhah mdogo wangu leo nimethubutu
Haya si mawungu? Tobaaaaah wee mbna had kichefu chefu. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2046439
Bora nile Ugali maharage mwaka Mzima kuliko mboga hii [emoji848]
They are rich in Proteins [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kwa kweli huo mseto[emoji1]Twalamusha mukamu.
Mwaaghona.
Nilipoo..
Nadhani mengine nimeandika mseto wa lugha [emoji16][emoji16]
Unapiga vyombo. [emoji23][emoji23][emoji23]Twaendelea [emoji16][emoji16]View attachment 2046456
hii imenipita dahHahahhah mdogo wangu leo nimethubutu
Ahhh dogo unayajua mabhungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Haya si mawungu? Tobaaaaah wee mbna had kichefu chefu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Inasaidia nini hii Mtakatifu Anne? Miaka 22 wala huhitaji haya ma supplement bana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema sipo nyumban, ningekua na mkalimani ningekukimbizaKwa kweli huo mseto[emoji1]
Ngoja nisiandike zaidi maana nitakupoteza.
Kuna mwenzetu anaitwa Hon Nkundwe kidogo anajitahidi.
Umeweza!!🤩😜Hahahhah mdogo wangu leo nimethubutu
JanjarooLil man handling his business....
View attachment 2046545
Ipo juu[emoji23]hii imenipita dah
maeneo ya toroka uje.nakuja maskani kwa bango unapajua?Uko block 41 kwa wapi bro?? Nipo na wana kama 3 hivi bro
Ni kwa ajili ya mwanangu.Inasaidia nini hii Mtakatifu Anne? Miaka 22 wala huhitaji haya ma supplement bana!
Ningewakimbiza wote, wewe pamoja na mkalimani wako[emoji1]Sema sipo nyumban, ningekua na mkalimani ningekukimbiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo vipi wee?[emoji120]View attachment 2046653
hahahaha ok nitaichekIpo juu[emoji23]