Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
..
Nini hiyo mtakatifu
Leo Vocha wapi?Nipo leo sibanduki hapa..naona bila bila tu.[emoji28]Naomba unikaribishe tuishi wote Nkamu
Mjep mimi niliomba vocha zangu unitengee [emoji847][emoji1787].Leo Vocha wapi?Nipo leo sibanduki hapa..naona bila bila tu.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanikiwa kupata mojawapo?Mjep mimi niliomba vocha zangu unitengee [emoji847][emoji1787].
Ila asante sana[emoji120][emoji120][emoji120]jana umefanya madogo wafurahi na zile vocha.
Naomba siagi hyooo Dada!Uji wa lishe[emoji16]
Karibu
Mimi sikupata maana sikuwa na line zangu muda huo ila nilizitupia kwenye group la majobless wenzangu.
Haaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vocha kumbe?!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Karibu[emoji847]Naomba siagi hyooo Dada!
Ndiyo Dada...tukae kwa kutulia hapa[emoji23]Kuna vocha kumbe?!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ooooooh..sawaMimi sikupata maana sikuwa na line zangu muda huo ila nilizitupia kwenye group la majobless wenzangu.
Walipita nazo zote[emoji16],,
Zaidi sana wa TTCL wakalalamikwa kwanini wametengwa.
Jinsi watu walivyo fasta..
Naogopa kuongezeka, wacha nibaki na haka kamwili kadogo [emoji28]Uji wa lishe[emoji16]
Karibu
Sikia naomba niwe chawa wako au nikope laki 2[emoji52]Mkuu, bila hivyo maisha hayaendi [emoji23][emoji23][emoji23] kama wanavyosema life bila unafiki kuna kipindi halinogi
Yaani..watu wako fasta vibaya mno..Jinsi watu walivyo fasta..
Sidhani kama mtazipata[emoji1787][emoji1787]
Utaniita best Angu sasa watu wapoje fasta na JF kila mtu tajiriJinsi watu walivyo fasta..
Sidhani kama mtazipata[emoji1787][emoji1787]
Usibanduke, taja na mtandao kabisaaLeo Vocha wapi?Nipo leo sibanduki hapa..naona bila bila tu.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app