😃emu wacha kunipakazia Dada, mtoto ninaendaga clinic ?, nimekumisi sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23] leo ndo nimerudi duniani ndugu yangu naamini keki itakuwa imeisha
Moka hii ni ya dollars ngapi manyaunyauKiofisa zaidi.. Sina bajeti tena ya sikukuu[emoji2]View attachment 2046232
🤣🤣🤣Ndo umeamua kunisemea sio[emoji17]
Wasalimie
Vale analalamika umempa block
Vale analalamika umempa block
Mkuu napita break point mtu chake View attachment 2046274
Vale Mchokozi sanaHahahaha vale utamuweza
Mhmh[emoji848]100 tuu