Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hiyohiyo inatosha.Looooh
Mie sina vigezo vya kushindana
Tatizo chura![]()
Kinachoangaliwa ni ujasiri 🤗
Hiyohiyo inatosha.Looooh
Mie sina vigezo vya kushindana
Tatizo chura![]()
Itakuwa kapoteza simu,maana anaugonjwa wa kupoteza simuYu wapi Depal ?nakaribia wiki sasa sijamwona popote
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ngoja tuoneHiyohiyo inatosha.
Kinachoangaliwa ni ujasiri![]()

Yani nimejaribu kujiangalia kwenye kioo zaidi ya mara 2 sijaona kitambi na zaidi namudu kuvaa soksi za miguu nikiwa nimesimama mguu mmoja
Nimetoka ofisi ya Waziri Mkuu sijakuta Ujumbe wowote, nimempigia simu Kalani wangu amesema hajapata barua yeyote leo wala Jana, Fanya kuutuma tena![]()




wee mzee wa tiaraaeeeii acha utan, nenda tena kaangalie bas,Ila Jamaa amezifaidi kweli
Walichoniboa baadaye wakaleta Sheria zao kupitia Mosses kuwa hutakiwi Kuzini wakati Yeye tayari alishazichakata zaidi 1,000 wakati huo mimi hata watatu sijafika
Baada ya Mosses kusema Tusizini akaja mwingine aliyepigilia msumali kwa kusema Yeyote amtazamiye Mwanamke kwa kumtamani Atakuwa Ameshazini naye. Kwa mstari huo Pekee, hapa JF hakuna atakayepona
![]()









poleee.Hivi huogopi wakikugeuka?Kuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake. View attachment 2045433View attachment 2045434


Yeah hata mimi huwa sipendi kupelekeshwa, kazi za ndani ambazo angalau napenda kufanya ni kufua na kusafisha nyumba. Kwa sababu sipendi kuvaa nguo chafu wala sipendi kukaa kwenye mazingira machafu, ila kupika na kuosha vyombo daaaah hapana kwa kweli nisiwe muongo hizo huwa nazifanya basi tu.Mimi namfanyia mtu vizuri ,,tena asipokuwepo wa kufanya ndo kabisa..
Akiwepo wa kufanya huwa natega.
Kikubwa nisipelekeshwe tu.
Usipoteze ndoano yako bure mkuu. Muwe mnatuelewa wengine tunaposema kuwa sisi siyo wife material kabisa asee.Nilitaka nirushe ndoano nikuweke ndani sasa itakuwaje?
Ya Mirinda nyeusi baridi haitakosekana mjukuu. Mpambano ukianza nitag puliziloooh,mtanange unaanza lini
na hao wadhamini wanani?
Hahaa bila shaka wewe ni cdo wa special forcesKuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake. View attachment 2045433View attachment 2045434


Kwa kweli huo mstari ingekuwa tunaweza kuubadili kama Katiba, Mimi ningeitisha maandamano ya kuomba tuubadili tu. Manake haiwezekani ninyimwe kuingia Mbinguni kwa kunywa mchuzi wakati Nyama sijala😂😂Huyo wa mwisho dah! Huwa ananimalizaga sana kwa hiyo kauli yake!
Yaani hata ukiona msambwanda unatikisika tu ukakata shingo na vimawazo vya kirijali vikakujia basi umekwisha. Kuingia mbinguni tutaingia kwa rehema tu kwa kweli![]()
Ameen
AMEN