Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kwa kweli voda hatuhami acha watuue tu [emoji1787][emoji1787]10+ years ninatumia Voda pekee; nina mahaba nayo kupitiliza na wananikosha na speed yao. Japo vifurushi vinaninyoosha ila ndiyo nishaipenda sasa, napambana na hali yangu.
Dada kasema mmetisha sana