Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,548
- 235,319
Alsaedy wa hovyo tu..basi ni vile analilazimisha tu kulipeleka lile gari.Juzi kuna sehemu nilikaa nikasema ngoja niangalie ligi za wadogo zangu kar a na Anne. Mara Sauli huyo, nyuma yake K/njaro Express na Golden Deer bampa to bampa ; Golden Deer kamu-overtake mwenzie huyo kayeya. Muda kidogo kaja zake Imani taratibu; zikapita Sauli mbili tena, G.D nyingine na magari mengine mengii. Nimeshajisahau ndiyo namuona swahiba wako Al-Saedy anajikongoja, sijui nini kilimkuta siku hiyo. Tatizo hobby ya picha sina, nakuja kukumbuka baadaye mweeeh
Imani ndio wana huo mtindo wa kukatalia seat.Ufanye booking mapema; yanavyopendwa + msimu huu wa sikukuu na shule, yanajaa fasta
Kwa njia yetu angalau inajitahidi.Iman plus nimepanda juzi
Ya kawaida tu
Sauli nitajaribu next week
Amen[emoji120]mwee Pole Nkamu , Kyala Akhutule
Hiki kiganda kimenyooka kama Cha KabaaleMwami wange Nange Njagala untere echifanani chiruuuunjiii nkitekeko selfikanga [emoji23][emoji23]
Asisahau na kahawaSafiri salama...
Usisahau maparachichi ukirudi [emoji16][emoji16]
Unakufaje kirahisi hivyo [emoji1][emoji1]Nataka kufa hivihivi najiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapiga vitu vizito hiviWeekend imeanza mapema [emoji4][emoji4]View attachment 2046365
hahahaha kumbe navyoobwa vocha.mara cjui leo niko hovyo nasaidia kumbe huwa nachunika?Kumbe mtu chake anachunika kirahisi rahisi???
rafiki jana ckupata wa kutoka nae.naomba tutoke mm na ww.vijana wa zamani.leo FURAHI DAY,mtu chake rafiki vipi ushapata wakutoka nae leo??? [emoji1787]
Mimi kukata ticket week kabla ya safari ndiyo tabia yangu labda nipate safari ya dharura na kama safari ni ya dharura huwa situmii basi. Nina allergy na seat za nyuma na nikikosa za mbele huwa natamani hata kulia maana najua safari yangu itaboa tu.Hii seat sijawahi kuipata tangu nianze kusafiri.
Ngoja nijaribu kukata tiketi wiki 2 kabla ya safari,huwenda nikaipata.
hahahaha. We sikupi kazi yoyotemtu chake
Dogo nipe kazi ya u judje usije pendelea mtu kisa unamtaka kimapenzi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapana ni barakaHii ni Tahmeed VIP?
Golden Deer eh [emoji846][emoji846]
Asante sis🙏Safari njema
Kumbe nimepatia enhNew Force!
Luxury busses haziendi kwenu wanasema [emoji53][emoji53]
Hujawahi kukaa kwenye hii Siti km Yule Bibi abiria wa mbagala-gongo la mboto aliposhangilia Ile siku amepata Siti tena ya mbele,Ila abiria wakamwambia Bibi samahani hiyo Siti uliyokaa ni ya Dereva 😅.Bibi alichoka na kulaani sn kusikia hivyoHii seat sijawahi kuipata tangu nianze kusafiri.
Ngoja nijaribu kukata tiketi wiki 2 kabla ya safari,huwenda nikaipata.