Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kilugha hiki pelekeni PM sasa...mukazi wange [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tewali problem mwami wange sintekako chiface!
Kilugha hiki pelekeni PM sasa...mukazi wange [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tewali problem mwami wange sintekako chiface!
Nguzo Camp unakufahamu mkuu? Pazuri sana pale kupumzikia....[emoji16]Weka hata za kule Nguzo Camp madam
Hahaaa si wameamua kuwalipizia na ninyi wasukuma [emoji2][emoji2]Halafu na kilugha kimezidi. Kinyankore si Kinyankore, Kiganda si Kiganda, Kinyaturu si Kinyaturu, Kiha si Kiha....kha!
Wasukuma sisi huwaga ni salamu tu (wabeja nkamu, ndagafijo basi tunamaliza). Hawa sasa mbebishano mzima siku tatu sasa non stop. Jizazi [emoji15]Hahaaa si wameamua kuwalipizia na ninyi wasukuma [emoji2][emoji2]
Mjukuu nakuaminia [emoji91][emoji91][emoji91][emoji120]View attachment 2046653
Safiri salama...
Asanteeee!!!Safiri salama...
Usisahau maparachichi ukirudi [emoji16][emoji16]
[emoji173][emoji3059][emoji7][emoji91]
Pametulia sana pale mahali mkuu, napafahamu kupitia kwa mama mchungajiNguzo Camp unakufahamu mkuu? Pazuri sana pale kupumzikia....[emoji16]
Tugawane utamu mkuu
Nkamu leo umetembelea uzi wetu pendwa[emoji847][emoji7]Tugawane utamu mkuu
Dah siamini nimetoboa hadi asubuhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Good morning selfika.
Vibaya mno[emoji38]Unaumwa?
Ngoja nije na masimbi !Nkamu leo umetembelea uzi wetu pendwa[emoji847][emoji7]
Tunaomba uselfike.
Hata mimi huwa naitumia kujibu pm tu.Kwa pm iko vyed kabisa
Kuna kipindi app ilizingua upande wangu nikaomba msaada kwa Max akanielekeza kudowlod hiyo jf mpya kwa browser mweeh nilivo na kichwa kizito nikabaki kuona maruwe ruwe
Nikafanikiwa kudowlod hatimae, ila kwenye kuitumia sasa..... Cha
Nikaona tabu yote yanini nikajipoteza jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nashkuru now app imerejea fresh ile browser natumia mara chache sana hasa kwenye kujibia pm
EwaaaNgoja nije na masimbi !
Ha ha haaa,kwel mbeya halisi hiiEwaaa
Selfika nayo...
Na ndunye
Na matakapela
Na ndofani