Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Na wewe unaenda mkoani? Na umepata Siti ya mbele?Uko kama mie![]()
leo najifunza majina ya mabus, niache kudandia dandia maloriNew Force sasa hivi hazina ishu
Dar Mbeya basi zinazohit kwa sasa ni Sauli, Al Saedy, Kilimanjaro na Imani Plus
Hapo kwenye hobby ya picha tuko wengi kwa kweli. Naweza kutana na tukio muhimu nikaliangalia kuanzia mwanzo ila likifika mwisho ndiyo nakumbuka eti sijalipiga picha.Juzi kuna sehemu nilikaa nikasema ngoja niangalie ligi ya wadogo zangu karma na Anne. Mara Sauli huyo, nyuma yake K/njaro Express na Golden Deer bampa to bampa ; Golden Deer kamu-overtake mwenzie huyo kayeya. Muda kidogo kaja zake Imani taratibu; zikapita Sauli mbili tena, G.D nyingine na magari mengine mengii. Nimeshajisahau ndiyo namuona swahiba wako Al-Saedy anajikongoja, sijui nini kilimkuta siku hiyo. Tatizo hobby ya picha sina, nakuja kukumbuka baadaye mweeeh
Al Saedy kwa Mbeya mbona wanajitahidi kupeleka mabasi mazuri. Kuna siku nilipanda Al Saedy ya kwenda Dom aloooo abiria tulilalamika safari nzima.Alsaedy wa hovyo tu..basi ni vile analilazimisha tu kulipeleka lile gari.
Halina ulakshari wowote mule ndani
Basi ni vile ukipanda inabidi uungane nao kupambana na mengine.
MhmhAahh kawaida mbona![]()
Saint AnneSelfika na Airtel ya buku X2. View attachment 2047350
Hamna mkuu bali nami napenda kuona miti inavyorudi nyumaNa wewe unaenda mkoani? Na umepata Siti ya mbele?


Ahsante sana brod darling; dada amebahatika na yeye, kafurahijeee. Sasa hivi hakai mbali na simu tehSelfika na Airtel ya buku X2. View attachment 2047350
Hahaa tujifunze tu mkuu. Tuache kudandia magari ya magazeti na IT za nchi jirani.leo najifunza majina ya mabus, niache kudandia dandia malori
Anaumwa leo. Sema hizi vocha kama zinatupenda sasa Mama Wachungaji



Hapo kwenye hobby ya picha tuko wengi kwa kweli. Naweza kutana na tukio muhimu nikaliangalia kuanzia mwanzo ila likifika mwisho ndiyo nakumbuka eti sijalipiga picha.
Kwa mabasi hizo pitanapitana za njiani ni kawaida tu ila pale Mbezi ndiyo huwa panaamua nani mshindi. Mara nyingi anaanza Sauli then Al Saedy then Kilimanjaro then Imani Plus.
Voda siyo deal hamia airtel🤣🤣Ahsante sana brod darling; dada amebahatika na yeye, kafurahijeee. Sasa hivi hakai mbali na simu teh
@Mjeb bana kumbe jana dada alibahatika ile vocha yako ya tigo ya mwisho . Mbarikiwe kwa kweli
Ila Voda mnatutenga sana
Alsaedy wa hovyo tu..basi ni vile analilazimisha tu kulipeleka lile gari.
Halina ulakshari wowote mule ndani
Basi ni vile ukipanda inabidi uungane nao kupambana na mengine.


bana la Mbeya ni zuriHata Mbeya hamna kitu.Al Saedy kwa Mbeya mbona wanajitahidi kupeleka mabasi mazuri. Kuna siku nilipanda Al Saedy ya kwenda Dom aloooo abiria tulilalamika safari nzima.
Picha linaanza kila mtu katoa nauli yake yaani nauli wanakuchaji kwa kukuangalia muonekano wako. Al Saedy kwa Dom hamna kitu wanapeleka mikweche tu.
Ya leo imenipita.Anaumwa leo. Sema hizi vocha kama zinatupenda sasa Mama Wachungaji![]()
hahaha we unanizuga nimeona juu hapo unayajua vzr tu.unakaa na makondakta kupiga story dah. Sisi wa kasumbalesa.mokambo tutadandia maloriHahaa tujifunze tu mkuu. Tuache kudandia magari ya magazeti na IT za nchi jirani.