[emoji7][emoji7][emoji7]Huu mpambano tufanye siku ya mkesha wa mwaka mpyaa hadi mimi natupia zangu[emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndo hadi niwe nao [emoji1][emoji1]
Teh!!Rangi iko on point, Umetisha sana fundi[emoji23]
Kibao kimehamia kwangu
Mmmmmmmmmhwacha wee
Jaji kama jaji lazima nitupie yangu ya ukumbusho na sitojificha sura😍[emoji7][emoji7][emoji7]
Washiriki wameongezeka[emoji91][emoji91]
Pambano linazingatia nini na nini mkuu?Tangazo mpambano wa pisi kali ya sefika tunatafuta wadhamini pambano litafanyika tarehe 31/12/2021
Hakuna kigezo Wewe mfungulie my wiii picha itakayo pigiwa kula ndio mshindi na zawadiiiiii nonooooo kutolewa 🤪😬😬😬😂😂😂Pambano linazingatia nini na nini mkuu?
Nimfungulie akaunti wifi yako na yeye aselfike awe kwenye mchuano
Safi sana[emoji7]Jaji kama jaji lazima nitupie yangu ya ukumbusho na sitojificha sura[emoji7]
Ooh!!kumbeHakuna kigezo Wewe mfungulie my wiii picha itakayo pigiwa kula ndio mshindi na zawadiiiiii nonooooo kutolewa [emoji2957][emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah [emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]Fundi rangiView attachment 2046058
HahahahaShindano si la kukosa zawadi kama Gari,Nyumba,Tv bila kusahau sukari ya warembo Iphone [emoji336] macho 4kutolewa[emoji2957][emoji23]