Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Hiliiii tako la nyaniiiiii ...kama tunavopenda kuiitaaView attachment 2047175
kuzurulaa
Hiliiii tako la nyaniiiiii ...kama tunavopenda kuiitaaView attachment 2047175
kuzurulaa
Leo naona niko poa.
Nimeshusha shusha kahoma sasa najisikia vizuri.
Nataka nikapime baadhi ya vipimo.
Vikitoka vizuri basi hii homa itakuwa ni kwa sababu ya hali ya hewa au kakirusi kapya kanatutest[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba liftView attachment 2047175
kuzurulaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Zanzibar kuna eneo linaitwa bambi na Turkey Turkey niliona duka linaitwa Bambi
Bon Voyage Lizzy
Nilikuwa sioni njia.
Ndo naenda hapa .
your little kids? 😍😍
Hiliiii tako la nyaniiiiii ...kama tunavopenda kuiitaa
Naomba lift
Mmmmh we nae
Hii ni Tahmeed VIP?Mkoani..Situ ya mbele kabisa ili nione Miti inavyorudi nyuma[emoji16]View attachment 2047139
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
kama hunywi bia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2047093
Jumaa Mubarak
Lugha za mitaani tu
Dah Karma hajakwambia kuna mnyama anaitwa Sauli.
Ipo nyingine Inaitwa Imani plus..
New force siyo mbaya lakini.
Ufanye booking mapema; yanavyopendwa + msimu huu wa sikukuu na shule, yanajaa fastaHajaniambia [emoji53][emoji51][emoji51]
Maybe tukiwa tunarudi.... [emoji3061]
kama hunywi bia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]