Tupo sisi wakulima na majoblessUtaniita best Angu sasa watu wapoje fasta na JF kila mtu tajiri

Yaani..watu wako fasta vibaya mno..
Hebu mshitue Mjep basi..simuoni tena.
Sent using Jamii Forums mobile app

Fanya kutupia selfie tukisubiri vocha RaynaveroKuna vocha kumbe?!!![]()
Naogopa kuongezeka, wacha nibaki na haka kamwili kadogo![]()


huwezi kuwa chawa wangu, sema tukale wote raha.. wewe ni kaka yangu 😊😊😊Sikia naomba niwe chawa wako au nikope laki 2![]()
Hivi kumbe ni huyu mrembo ndo kabadili I'd! We Ray weweFanya kutupia selfie tukisubiri vocha Raynavero
Siku 1 huwezi ongezeka
ntanogewa then iwe ndo mtindo wa kila sikuA wapi!ntanogewa then iwe ndo mtindo wa kila siku
Utakuwa unampigisha pigisha hizo serengeti.Hahaa hutawezana nkamu![]()
Naweza uchawa dogo embu sema ata chirstimas wapi tukapate kreti la Castle lighthuwezi kuwa chawa wangu, sema tukale wote raha.. wewe ni kaka yangu![]()
asee.. bata langu huwa nakula bambalaga nikiwa dodoma, nikiwa dar es salaam ni samaki samaki na nikiwa mwanza huwa Diamond, The Cask au malaika.. christmass sijui nitakuwa mkoa gani kati ya hiyo tajwaNaweza uchawa dogo embu sema ata chirstimas wapi tukapate kreti la Castle light
Bambalanga ukiwa mfupi wanakutoa apo jauasee.. bata langu huwa nakula bambalaga nikiwa dodoma, nikiwa dar es salaam ni samaki samaki na nikiwa mwanza huwa Diamond, The Cask au malaika.. christmass sijui nitakuwa mkoa gani kati ya hiyo tajwa
Done!Timiza ahadi sasa babe
Wee usinidanganye mtakatifuA wapi!
Uji unavyokinai unakunogeaje?
Babe ahadi uliyotimiziwa ntimizieWee usinidanganye mtakatifu

Thanks my handsomeDone!
