Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona watu wanapost magari mimi sina lakini muda mfupi hapa niliitwa nje nikasukume gari betri iliisha charge[emoji30][emoji30]
IMG_20191006_133531.jpg
 
Natambua kuna wadau hapa wana kazi moja tu kuzi download ama kuzi screenshot picha zote zenye sura zinazowekwa hapa....
Nasema hivi... NAOMBA MNISIKILIZE KWA MAKINI SANA..
kama unafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida kabisa LAKINI kama unafanya hivyo kwa NIA OVU... nasema OLE WAKO.. [emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji49][emoji83][emoji84][emoji88][emoji88][emoji88]
Mkwara mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili jina la hazard ndio zuri lile lingine bayaa.
Halafu hazard ana kawowowo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu si uliacha pombe wewe? Nakuzoom tuu unavopost pombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi nilijua ni mimi peke yangu ndiye ninayekaona kale kawowowo kumbe tuko wengi
 
Dadaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nilitaka kumwambia kama piere konki ni ndugu yake ila nikaona atanipiga kipapai bure.
[emoji35][emoji35][emoji30][emoji34][emoji25][emoji30][emoji30][emoji30]hata wewe [emoji25][emoji25][emoji25]
 
Back
Top Bottom