Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hi
IMG_20191006_135415.jpg
 
Natambua kuna wadau hapa wana kazi moja tu kuzi download ama kuzi screenshot picha zote zenye sura zinazowekwa hapa....
Nasema hivi... NAOMBA MNISIKILIZE KWA MAKINI SANA..
kama unafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida kabisa LAKINI kama unafanya hivyo kwa NIA OVU... nasema OLE WAKO..
Mganga kasema
 
Mshana Jr huu uzi wako umeshanifanya nikajiona fala na masikini.
Uweke sheria kabisa, tutume selfie zetu sio za vitu vyetu.
Hauwezi amini mzee baba alikuwa anakaribia kuchana nguo ila sasa hivi kalala zake dadeeeek.
Hahah mkuu ishi maisha yako ndio hayo Mungu amepanga. Japo unaweza kuyafanya maisha yakawa kama vile unavyo tamani.
 
Back
Top Bottom