Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Babe kuna mvua. Nahitaji kumbato lako nilaleNasubiri ile full babe
Babe kuna mvua. Nahitaji kumbato lako nilaleNasubiri ile full babe
Njoo PM nikupe kumbato babeBabe kuna mvua. Nahitaji kumbato lako nilale
[emoji23][emoji23]ila weweYaani hadi leo hujaniona tu? Unakuwaga wapi?
On my way there [emoji126][emoji126][emoji126]Njoo PM nikupe kumbato babe
[emoji23][emoji23]ila wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji119]Yaani hadi leo hujaniona tu? Unakuwaga wapi?
Mshawishi mama mchungaji atupie basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji119]
Nipo napambana na hali yangu[emoji38]Mshawishi mama mchungaji atupie basi
Jamani, inakuja sasa hiviMshawishi mama mchungaji atupie basi
Do the needful NkamuJamani, inakuja sasa hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji119]
Do the needful Nkamu
Weka hata za kule Nguzo Camp madamAt your service nkamu
Ooh zile, una kumbukumbu nkamu. Nitazipost baadaye basi, zipo kwenye gadget nyingineWeka hata za kule Nguzo Camp madam
Watu wanavyokuwaga sensitive nayo...I'm sure ya aunt inaruhusu 🙂Haha dogo kweli ana miguu mizuri, ila sisi wengine tunavaa basi tu kwa vile hatupendi kubanwa kote kote mapajani na miguuni, japo tuna miguu ya ajabu hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Panaboa kweli 😬😬😬😬Yaani siku hizi story zimekuwa nyingi kweli kwenye huu uzi, mimi ndiyo maana siku hizi huwa sisomi comments nascroll na kulike picha tu then natambaa.
Daah wengi walio karibu yangu wanalalamika kuwa airtel vifurushi viko vizuri ila mtandao ndiyo shida, ndiyo maana bado nakosa imani ya kuingia huko rasmi.
Yes hapo kwenye joggers pants nakubali. Suruali pekee ambazo walau huwa navaa mara kwa mara ni cadets na joggers pants ila jeans na fabric pants jau.Watu wanavyokuwaga sensitive nayo...I'm sure ya aunt inaruhusu [emoji846]
Joggers pants je?? They can be pretty comfy [emoji847]
Yes hapo kwenye vpn umenipa wazo zuri. Ngoja nitajaribu tu maana kila nikikuna kichwa nichague wapi kati ya TTCL Tigo au Airtel wazo linaniambia nijaribu Airtel.Panaboa kweli [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Basi kama ni hivyo bora u-stick to one that works. Although....you could just get one and try it out. Alafu download VPN pia...nyingine zinasaidia kuongeza speed kidogo.
Atakuwa mwalimu kilaza huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Mwandiko huu hata ukikosea Mwl anakupa maksi 2 za bure