Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

sina hela ya bia nimeamua niwe fundi simu tu, yote kheri jambo la msingi bia iende kooni. 😀😀
Screenshot_20211216-181317.jpg
 
Pametulia sana pale mahali mkuu, napafahamu kupitia kwa mama mchungaji
Kuna wakati nilikua na kazi ya kama wiki hivi Morogoro nikaingia jf kucheck mahali pazuri Moro nikakjtana na maelezo mazuuri ya Nguzo camp kutoka kwa Heaven Sent
Hakika sikujuta

Wow, glad to hear that you enjoyed your stay there. Nikiwa Moro huwa najitahidi nifike kule aisee, utulivu wa hali ya juu. Hukupiga mapicha nkamu?
 
Back
Top Bottom