Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20210629_104427_142.jpg

Karibuni
 
Ila chungu[emoji51]
Aaah, uchungu uko wapi pale!? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Mbona mint ni nzuri tu? Tatizo umetumia sana zile pipi kifua! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Baada ya kuzidiwa usiku ,nikasema asubuhi niende kutembea huko mjini ..kuosha osha macho .

Nimetaka kudondoka kwa watu[emoji23]jinsi ninavyojisikia vibaya.
Mwili wote unawaka moto ukiongozwa na kichwa.
Sijui ndo corona part 3 Mungu wangu[emoji38]

Pole dear ,
 
Aaah, uchungu uko wapi pale!? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Mbona mint ni nzuri tu? Tatizo umetumia sana zile pipi kifua! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787]
No
Huwa natumia hiyo,Vigor dokta na colgate.
Za kibabe zote.
 
Back
Top Bottom