Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mimi napenda vya bure sina hela za kununua.Ajaribu anaweza vipata, mie huwa sitaki vitabu vya bure wizi wa kazi za waandishi hapana.. napenda kuchangia sehemu ya gharama walizo ingia pia ni kama mbengu
Ndiyo maana nimeomba ambavyo tayari unavyo,
Bahati mbaya umesema haiwezekani kushare.
Ni kama baba anavyopelekea watoto kitabu alichonunua.
Wanakuwa hawajaiba balo wamepewa.








Shkamoo!!!!