Naomba ulivyovinunua tayari.Hii ni online library application unanunua vitabu inaitwa kindle, mie mvivu wa hardcopy huwa nanunua humo vinaishi na kujisomea.. mahala popote pale niwapo
View attachment 2045281
Eneo la kazi wapi?Jamani wanaselfika natafuta mdada wakazi kwa udi na uvumba, msaada please
Arusha, ni mimi na yeye tuEneo la kazi wapi?
Familia ni ya watu wangapi??
vipo vingi sana zaidi ya miatatu, online Library. Kushare kwake hivi vigumu maana vipo kwenye app.. ambayo unajisajiri na unakuwa na username na passcode yako. kila mtu anakuwa na anuani zakeNaomba ulivyovinunua tayari.
Doh!vipi vingi sana zaidi ya miatatu, online Library. Kushare kwake hivi vigumu maana vipo kwenye app.. ambayo unajisajiri na unakuwa na username na passcode yako. kila mtu anakuwa na anuani zake
Oh sawa.Arusha, ni mimi na yeye tu
Nifanyie mpango mtakatifuOh sawa.
Ingekuwa karibu ningejitolea kukusaidia hadi pale utakapopata.

Una uhakika mtandao una speed ile inayohitajika na watu wengi? Dooh basi wewe ndiyo wa kwanza nakusikia unaisifia airtel kwenye suala la speed ya mtandao!Mimi natumia airtel na hakuna shida yoyote ya mtandao.
Airtel baba lao
Voda nimewaachia matajiri.
Nipe orodha kamili ya vitabu unavyovitaka (jina la kitabu na mwandishi) na nitakutumia kwa pdf hapa hapa...Naomba
NgarenaroArusha sehemu gani![]()
😅😅😅Dah umenifananisha mzee![]()
Huyo wa mwisho dah! Huwa ananimalizaga sana kwa hiyo kauli yake!Ila Jamaa amezifaidi kweli
Walichoniboa baadaye wakaleta Sheria zao kupitia Mosses kuwa hutakiwi Kuzini wakati Yeye tayari alishazichakata zaidi 1,000 wakati huo mimi hata watatu sijafika
Baada ya Mosses kusema Tusizini akaja mwingine aliyepigilia msumali kwa kusema Yeyote amtazamiye Mwanamke kwa kumtamani Atakuwa Ameshazini naye. Kwa mstari huo Pekee, hapa JF hakuna atakayepona
![]()



Kwa speed voda hana mpinzani.Una uhakika mtandao una speed ile inayohitajika na watu wengi? Dooh basi wewe ndiyo wa kwanza nakusikia unaisifia airtel kwenye suala la speed ya mtandao!
Hii ndo shingo ya mahondaw inayosifiwa au ni nyingine bageshi? Hiyo shingo imenipita japo imebidi niende kwa dada ya Korona ili kulinganisha. We ulibahatisha ukaiona shingo ya Mahondaw?
Oohh nilifikiri Tuko jiraniNgarenaro
Asante.Nipe orodha kamili ya vitabu unavyovitaka (jina la kitabu na mwandishi) na nitakutumia kwa pdf hapa hapa...
Naogopa naweza kukutafutia mtu halafu akakusumbua.Nifanyie mpango mtakatifu![]()
,na mimi ni multi purpose.