Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Marahaba[emoji1787][emoji1787]Hee [emoji23] Shkamoo!!!!
Ile wine yangu kwenye kikopo[emoji847]
Marahaba[emoji1787][emoji1787]Hee [emoji23] Shkamoo!!!!
Nilitaka nirushe ndoano nikuweke ndani sasa itakuwaje?Mungu akusaidie uendelee na moyo huo huo mdogo wangu. Ninavyozichukia kazi za ndani ni muumba tu ndio anajua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nifanyaje na nilikunywa yote. Nasafir Kesho ngoja nirudi tutaona tufanyajeMarahaba[emoji1787][emoji1787]
Ile wine yangu kwenye kikopo[emoji847]
Shkamoo madame.Katoto?
Nina 35
Umeanza tena?[emoji1787][emoji1787]Shkamoo madame.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui nifanyaje na nilikunywa yote. Nasafir Kesho ngoja nirudi tutaona tufanyaje
Hapana madame wewe ni mkubwa wangu nakupa heshima unayostahiliUmeanza tena?[emoji1787][emoji1787]
Unaninyima nini?
[emoji16][emoji38]Hapana madame wewe ni mkubwa wangu nakupa heshima unayostahili
Sijambo. Uwe na usiku mwema madame.[emoji16][emoji38]
Marahaba hujambo mdogo wangu?
Kuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake.Sasa mpaka ufanye jitihada za kumshika so ndiyo uchokozi mwenyewe huo brother?
Asante France[emoji120]Sijambo. Uwe na usiku mwema madame.
[emoji38]
Unajua mimi ninayo mingapi?
Huku kwema bageshi.Hahaha.....nyingine bhageshi
Nilibahatika kuiona shingo ya mahondaw
Kajaliwa yule mtoto kuwa na shingo ya upanga
Kwema lakini mkuu
Aliselfika ila picha imekaa kwa sekunde hata 4 hazikupita. Najaribu kudaunilodi holaa picha ishafutwa. Ila niseme tu mtumishi yuko vizuri sana. Sijui kwa nini sikupiga screenshot nikawa nakazana kudaunilodi dah najilaumu hatari!Heaven Sent umefuta nini dada mkubwa?
Makomandooo nyie si mmefundishwa survival skills za kila aina. Sasa mimi nimkamate nyoka nimpeleke wapi? Ila nikifika China siku moja lazima nionje nyama yake nione ikoje...Kuna mbinu Fulani za kumkamata mkuu, nyoka yoyote (almost) Kuna jinsi ukimlia tyming unamkamata kama bwege tu. Check huyu green mamba ambaye ni highly venomous snake. View attachment 2045433View attachment 2045434
[emoji1787][emoji1787]Jishaue tu[emoji58][emoji58]
Aanze tu[emoji1787]Aliselfika ila picha imekaa kwa sekunde hata 4 hazikupita. Najaribu kudaunilodi holaa picha ishafutwa. Ila niseme tu mtumishi yuko vizuri sana. Sijui kwa nini sikupiga screenshot nikawa nakazana kudaunilodi dah najilaumu hatari!
Mtumishi pulizi irudiweeeeee !!!!
Aliselfika ila picha imekaa kwa sekunde hata 4 hazikupita. Najaribu kudaunilodi holaa picha ishafutwa. Ila niseme tu mtumishi yuko vizuri sana. Sijui kwa nini sikupiga screenshot nikawa nakazana kudaunilodi dah najilaumu hatari!
Mtumishi pulizi irudiweeeeee !!!!
Aanze tu[emoji1787]