Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
MpendwaEwaaa baba wawili![]()

MpendwaEwaaa baba wawili![]()

hahahaha....hapana RafikiUshaniona mi mtoto ehhh!! Jana unapotea ivoivo!😔
Tukutane Mida yetu!🚶🚶🚶🚶🚶hahahaha....hapana Rafiki
Muzee ya totoz
swadakta....pitia hapa Forsters uchukue kadhaaa rafikiTukutane Mida yetu!🚶🚶🚶🚶🚶
Nakujaa fastaaaaa 🏃🏃🏃swadakta....pitia hapa Forsters uchukue kadhaaa rafiki
Itoshe kusema wakubwa wanafauduuu😍😍😍Mpendwa![]()
Dah umenifananisha mzeeMuzee ya totoz

Bora tigo airtel mmewahama nimebaki kupokea simu tu!nimejiunga na msg za mwezi!Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.
Walichokuwa wananikera TTCL ni upatikanaji wa vocha zao yaani hadi ujiunge kwa M Pesa, na hiyo huduma nayo ikajaga ikatolewa sijui hata waliishia wapi nikaachana nayo.
Haha Airtel si ndiyo huko nasikiaga wanakususia vifurushi ila mtandao utajitafutia, kwamba kama ni vifurushi tu we chukua ila mtandao utajua mwenyewe utakakoenda kuupata.
Sasa Vodacom wanatufanyia kinyume chake wanatususia mtandao 4G ila vifurushi vya bei rahisi utajua utakakovipata, mwee kama sijarudi Tigo sijui mimi japo hawa nao ni bomu.
Yani nimejaribu kujiangalia kwenye kioo zaidi ya mara 2 sijaona kitambi na zaidi namudu kuvaa soksi za miguu nikiwa nimesimama mguu mmoja😜😜kilugha chetu hicho, maana yake tumbo kubwa lililopitiliza,
Hapo sasa hebu katazame PM kule, nasubir hivyooh
Wanaotumia Airtel wanasema network ni mwendo wa Kobe. Voda ipo njema Sana kwa speed Ila inatoboa mfuko. Kwa Sasa nipo Voda mdau wa kitambo na halotel inajitahidi Sana kwa gharama na speed normal.Mpendwa hakuna unafuu kote kote ni kukaza shingo tu
Mimi natumia airtel na hakuna shida yoyote ya mtandao.Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.
Walichokuwa wananikera TTCL ni upatikanaji wa vocha zao yaani hadi ujiunge kwa M Pesa, na hiyo huduma nayo ikajaga ikatolewa sijui hata waliishia wapi nikaachana nayo.
Haha Airtel si ndiyo huko nasikiaga wanakususia vifurushi ila mtandao utajitafutia, kwamba kama ni vifurushi tu we chukua ila mtandao utajua mwenyewe utakakoenda kuupata.
Sasa Vodacom wanatufanyia kinyume chake wanatususia mtandao 4G ila vifurushi vya bei rahisi utajua utakakovipata, mwee kama sijarudi Tigo sijui mimi japo hawa nao ni bomu.

Ila Jamaa amezifaidi kweli🙈
NaombaKaribuni tusome kitabu na ku practise
View attachment 2045260
Hii ni online library application unanunua vitabu inaitwa kindle, mie mvivu wa hardcopy huwa nanunua humo vinaishi na kujisomea.. mahala popote pale niwapoNaomba