Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwapati wajukuu zangu ng'o hata uweke Rolisi Roisi orijino. Tena ngoja niwashtue wakae chonjo kwa sababu umekuja kivingine kabisa [emoji16]
IMG-20211110-WA0027.jpg

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
View attachment 2044292
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]

Mjukuu njoo haraka. Ostaadh anakula kwenye restaurants zinazopokea dola tu na siyo haya madafu yetu. Una maoni gani kuhusu hili?
 
Kitabu cha "Wimbo Ulio Bora" nadhani kimeandikwa na Mfalme Suleimani - Mfalme Tajiri wa mali, Hekima na Wake. Nadhani hatotokea Mtu wa kuvunja RECORD yake kwenye maeneo hayo.

Unakuta Mwanamke analalamika mume wake ana michepuko anasahau Suleiman peke yake alikuwa na michepuko(Masulia) zaidi ya 700[emoji119]
[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20211214_073626_591.jpg
 
Safi sana. Ngoja tuone atakuja na mbinu gani zaidi. So far:

Saa ghali orijino
Misosi ghali inayolipiwa kwa dola
Pesa OG za madafu

Endelea kumkazia huyu Ostaadh...haaminiki!
IMG_20210822_182307_279.jpg

Mpatie mjukuu wako hizo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Yap...
From the get go the lady knows her Math & Science...and she gets paid handsomely to tutor other kids online...She is doing college Calculus now...A pediatric neurosurgeon/cardiologist in the making...and universities are already calling...

We just pray that God continue blessing, protecting and guiding her...[emoji16][emoji16]
I envy her for real [emoji7][emoji7]

Just keep praying for her and she will fulfill her dreams [emoji120][emoji120]
 
View attachment 2044387
Mpatie mjukuu wako hizo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapa naona mjukuu atasalimu amri. Ngoja aje tumuone atasemaje...

Niliwahi kushika vibunda vitatu vya 10K kila kamoja kwa siku moja aisee nilijiona kama Floyd Mayweather. Hakukosea aliyesema pesa ni sabuni ya roho!
 
Back
Top Bottom