Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Leo sina bahati kwa kweli.Hadi na wewe umepitwa mama amchungaji? Basi bahati si yako leo
Leo sina bahati kwa kweli.Hadi na wewe umepitwa mama amchungaji? Basi bahati si yako leo
Haha.....kwa kweli nimeona nikushitaki kwenye umma wa jamiiforum maana huwa tunakuomba uselfike hata viungo vyako ila mgumu kweli kweli
Nyooooooo una uzee gani hebu tubariki na selfie bana!Na uzee huu nguvu ya kusefika naitoa wapi Mama[emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na umegugo mlongo lol.In mbamba bay[emoji7]View attachment 2045016View attachment 2045018
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikute topics za kusifia kuchepuka sasa; mikono lazima iniwashe, nitakesha
Ndyo uweke hapa selfie yako. [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimsaidia Karma kuingiza, ila nimeambiwa kadi hazipo
Ili tuamini fanya kuselfika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana mamy!
Basi umewahiwa Nkamu maana kuna watu wapo macho hapa balaaNilimsaidia Karma kuingiza, ila nimeambiwa kadi hazipo
😬😀😀😀Nyooooooo una uzee gani hebu tubariki na selfie bana!
Shos km shos [emoji7][emoji7][emoji7]Evening Valentina ![emoji113]View attachment 2045132
Nimehisi pia; ila sio ningejibiwa kuwa zimeshatumika kwenye namba inayoishia 1234 (mfano)Basi umewahiwa Nkamu maana kuna watu wapo macho hapa balaa
Hahaa Saint Anne atakuwa kashachukua [emoji16][emoji16]
Leo na mimi nimewahi ✌Evening Valentina ![emoji113]View attachment 2045132
Ngoja tusubiri mrejesho hapa kutoka kwa wadauNimehisi pia; ila sio ningejibiwa kuwa zimeshatumika kwenye namba inayoishia 1234 (mfano)
❤️Shingo imejigawa vizuri una ujamaa na Ummy MwalimuEvening Valentina ![emoji113]Shingo kView attachment 2045132
Dogo yupo makini balaa leo inawezekana kabisaHahaa Saint Anne atakuwa kashachukua [emoji16][emoji16]