Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Mimi TTCL nilikuwaga natumia ya chuo vifurushi vilikuwa bei rahisi halafu speed iko vizuri 4G ni 4G kweli, nilikuwa nawashangaa watu wanaolalamika kuwa TTCL iko slow.Mitandao yote nimetumia ila kasoro TTCL, kiukweli airtel iko vizuri upande wa vifurushi internet, tatzo mtandao wao uko slow sana.
Now natumia voda na halotel. japo naumizwq kdg.![]()
Walichokuwa wananikera TTCL ni upatikanaji wa vocha zao yaani hadi ujiunge kwa M Pesa, na hiyo huduma nayo ikajaga ikatolewa sijui hata waliishia wapi nikaachana nayo.
Haha Airtel si ndiyo huko nasikiaga wanakususia vifurushi ila mtandao utajitafutia, kwamba kama ni vifurushi tu we chukua ila mtandao utajua mwenyewe utakakoenda kuupata.
Sasa Vodacom wanatufanyia kinyume chake wanatususia mtandao 4G ila vifurushi vya bei rahisi utajua utakakovipata, mwee kama sijarudi Tigo sijui mimi japo hawa nao ni bomu.







