Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa speed voda hana mpinzani.
Airtel inasumbua lakini si kwa kiwango hiki wanachokisema watu hapa.
Yeah voda speed yake ndiyo inafanya watu wasiihame hata kama vifurushi vinaumiza. Mambo mengi muda mchache masuala ya kukaa unasubiri mtandao uload kama unasubiri mshahara mtu anaona bora akomae kibishi tu na voda mambo yaende.
 
Hii ndo shingo ya mahondaw inayosifiwa au ni nyingine bageshi? Hiyo shingo imenipita japo imebidi niende kwa dada ya Korona ili kulinganisha. We ulibahatisha ukaiona shingo ya Mahondaw?
Hahaha.....nyingine bhageshi

Nilibahatika kuiona shingo ya mahondaw

Kajaliwa yule mtoto kuwa na shingo ya upanga

Kwema lakini mkuu
 
20211209_214458.jpg
 
Ajaribu anaweza vipata, mie huwa sitaki vitabu vya bure wizi wa kazi za waandishi hapa.. napenda kuchangia sehemu ya gharama walizo ingia pia ni kama mbengu

Siyo wizi mkuu. Ni program halali zilizo wazi na nadhani zinaingia maelewano na publishers vinginevyo ukijaribu kuiba wanaku-shut down mara moja. Pia usiwe so self righteous. Naona kama vile uko mwepesi sana wa kuhukumu wengine. Mimi pia ni mwandishi wa vitabu na nisingependa kazi zangu zichukuliwe bure!
 
Hatujaelewana, nimezungumziwa vya wizi, hivyo unavyo sema ni legal sina shida navyo. Naheshimu kazi za waandishi na jasho lao. Sio kwamba najihesabia haki, nafikiri hapo umenielewa vibaya na kila mtu ana principal zake za maisha, kitabu cha bure sitaki napolipia nakuwa na uchungu na hela yangu, najua nitakisoma,
 
Back
Top Bottom