Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Duuuh, hapa uchumi unadumazwa na mifoleniNakuja hapo ulipo tuongee kwa kinaView attachment 2044961
Duuuh, hapa uchumi unadumazwa na mifoleniNakuja hapo ulipo tuongee kwa kinaView attachment 2044961
Hamkuselfika pamoja??😳😳😳😳That day, I will never forget
Umeshaonana na Daktari wa mapafu?Ponapona yangu ni dawa za asthma.
Bila hivyo usiku huwa sitoboi salama![]()
Kalee ssebbo!Jebaleee
Nkamu selfika tu hamna namnaMweeh jamani. Nyie kupiga picha ni wito
Asee, tumeagizwa tuwaponde vichwa
mwache mwanaume achepuke, apate experienceNikute topics za kusifia kuchepuka sasa; mikono lazima iniwashe, nitakesha
Ndiyo...nishafanya check up huko ndani kupo vizuri tu.Umeshaonana na Daktari wa mapafu?
Mwisho wa mwaka huu.. tunakula vitu shambani na familiaNa huyu swahiba wangu Kijana wa hovyo hovyo nae kapotea huku,ingawa kuna mahali nilimuona
Kijana wa hovyohovyo nakusalimia Kwa jina la jf
Rafiki yangu wangari aliniuliza mbona nilimshtukia mapemaaaaaa??
![]()

I doubt kama umemuona Pulmonolilogist na pia I doubt kama una nasal Polyps.Ndiyo...nishafanya check up huko ndani kupo vizuri tu.
Najijua shida yangu mkuu.
Nina nasal polyps ,sasa nikibanwa na kifua kidogo au mafua inakuwa shida kidogo kwangu.
Usibanduke
Nkamu selfika tu hamna namna
Hahahahahahaha
Ah Nyete alipiga watu humu mchana kweupe.
Yani ukiselfika wewe tu baaasi mimi ni nani nishindwe??Mjep nakusubiri kwa hamu hapa
Kazi ipo nikitoboza kama sijaumwa hii kitu itakuwa bahati sana....maana wiki nzima nachungulia vinywa vya wagonjwa kama wewe dah!nilipewa Amoxyllin, Brufen, Citrizen na Kofylin ila nimejiongezea Diclopar sijui ndo najioverdose
mwache mwanaume achepuke, apate experience
Yah ni allergyI doubt kama umemuona Pulmonolilogist na pia I doubt kama una nasal Polyps.
Nadhani wewe utakuwa na Allergic rhinitis
