Duh! Umewezaje kumshika huyo jombiii?Kifutu time [emoji2][emoji2]View attachment 2045009
Ni bora allergy ibaki palepale ila surgery inipumzishe kidogo na haya mateso.Surgery ina indications zake ,kama unazo unafanyiwa tu na nyingi huwa ni kutibu complications za AR na allergy hubakia pale pale
Hongera sn mkuuMwisho wa mwaka huu.. tunakula vitu shambani na familia
Kifutu ni mpole sana but very fierce akichokozwa mkuuDuh! Umewezaje kumshika huyo jombiii?
Jaribu kusupliment matibabu yako na nasal douching.Ni bora allergy ibaki palepale ila surgery inipumzishe kidogo na haya mateso.
Hii hali inanitesa mno...nikipumzika miaka kadhaa siyo mbaya.
Nikienda ENT huwa nawavunja mbavu madaktari wangu vile ninavyoishikilia ile surgery.
Kwanza nagombana nao kila siku,naenda pale nanukia kama jini nishajikatia tamaa.
Tatizo unachelewesha mama.Alafu ukipost unitag wajameni😁..Haukawii kufutaUtaniona Satoh
Sasa mpaka ufanye jitihada za kumshika so ndiyo uchokozi mwenyewe huo brother?Kifutu ni mpole sana but very fierce akichokozwa mkuu
[emoji1751]
Nakutafuta tuongee[emoji4]Jaribu kusupliment matibabu yako na nasal douching.
Kwa kweli dyadya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo mimi mnyaki. Au tufanye nipo Europe Dyadya.
Pole yako Nkamu[emoji1751]
Line zipo mbali
[emoji17]Pole yako Nkamu
Hizo mgawie Karma[emoji17]
KaribuNakutafuta tuongee[emoji4]
Mkuu unataka kumla [emoji2297][emoji2297]Kifutu time [emoji2][emoji2]View attachment 2045009
Nikupe ya nani na nani?
Unataka kipande au nzima?[emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahaha ujikute tu