Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
๐๐๐๐๐๐๐Hapana [emoji1787][emoji1787]
Mwee
๐๐๐๐๐๐๐Hapana [emoji1787][emoji1787]
Mhola du(salama kabisa)Mhola du!.
Sielewi hata najibu sentensi gani hapo.
Kuna mtu aliniambia mimi mpole .Hehehe [emoji16][emoji16]
Vizuri sana kama ni safi mkuuSafi Mkuu
Kuna mtu alikuwa ananifundisha kisukuma hapa jukwaani anaitwa PTER.Mhola du(salama kabisa)
Upo sawa au kuna mtu msukuma pembeni kakuelekeza/fundisha kujibu?[emoji3]
Bhasi ni mwalimu wako mzuri sana usiache kuendelea nae kukufundishaKuna mtu alikuwa ananifundisha kisukuma hapa jukwaani anaitwa PTER.
Inabidi aendelee na darasa aisee[emoji23][emoji23]
Sijaona mpole hapa [emoji1][emoji1]Kuna mtu aliniambia mimi mpole .
Nikasema asante Mungu,kumbe kuna muda naonekana mpole na hamsemi[emoji38]
CoolGood try...Upo vzr kwenye hizi mambo๐
Hey hi [emoji112][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Bila moto mambo hayaendi.
Ila hapo kwa Depal kalivyo karembo, sijui bana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaona mpole hapa [emoji1][emoji1]
Mie nlikua sijuagi hata jana ndo nimetajiwa.Oohh basi hata mimi ndiyo nasikia leo kuwa Wangoni ni watani zetu
Salama.Na hata milele AMINA
Habari za asubuhi mkuu
Wa kuwa chibonge? Unamchosha bibi sema hakuambii tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu wivu sasa mjukuu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo liwe kubwa utajua hujui lol.Hahaha[emoji23]