Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Duh! Ila hata Kyela naamini kupo poa sana.ndiyo hivyo hakuna namna
Si ndio kuna Matema beach huko???
Duh! Ila hata Kyela naamini kupo poa sana.ndiyo hivyo hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]chuichui anawasindikiza wanyaki
Kama kweli vile!Madameeeeee looking gorgeous
Ngoja nikatafute chuichui na mimi, siwezi kupitwa khaaa
SawaMgonjwa nitanenepa kwa style hii, haya ninunulie
Tupe location!supu mnakunywa wapi ?
[emoji38]Saint Anne huwa selfie zake zinanipita ngoja nipande Mlima
Ponapona yangu ni dawa za asthma.
Bila hivyo usiku huwa sitoboi salama[emoji23]
Duh! Ila hata Kyela naamini kupo poa sana.
Si ndio kuna Matema beach huko???
Nimefungua na chuichui saa 10 alfajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wewe ndiyo umetufungulia leo na Chui[emoji3059]
yaani nimejikuta nahesabu wadada wanyaki humu nimeona wapo kama 6 kumbe tumo tumo.
Hamna sio mpole[emoji3].
Nimefungua na chuichui saa 10 alfajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana Mbeya oyeee
Chuichui oyeee
Kabisa na nikinywa/kula vitu kama hicho asubuhi nikashiba sawa sawa huwa nachelewa kupata njaaNi vizuri vinakaa tumboni husikii njaa mapema!!
Kwa wanyaki; yeye ni mpole sanaHivi kumbe Simara Ni mpole???
Umeonaa eeeehhh!!?Kabisa na nikinywa/kula vitu kama hicho asubuhi nikashiba sawa sawa huwa nachelewa kupata njaa
Kama kweli vile!
Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oh asante sana[emoji120]Ingia insta msearch huyu Jafferyahmed kama nipo sahihi au kaangalie amepostiwa juzi na Belina Mgeni, huwa ana dawa kamsaidia rafiki yangu alikua na Asthma ila now habanwi wala nini.
Kuna shingo ndiyo mkuuHivi kumbe kuna shingo paleee??