Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nakaribia folenUshafika au bado??
Nakaribia folenUshafika au bado??
Nimewaescort wanyaki 😁😁😜Yeees![]()

Ohhh hapo sina la kusema!Majukumu Mpendwa...Mwisho wa Mwaka huu tunamalizia viporo kabla ya jumatatu kuchukua likizo ndefu, so tunakomaa tu.
Hahaha....Vitu vya kasava ya kienyeji ndo nipo navisubiria hapa mkuuPaka jamani!!! Vipi leo hakuna vitu vya kasava??
Ahaaa ok , ukifika nambie!!Nakaribia folen
Ng'ombeng'ombe🤣🤣🤣🤣Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo?
Wanyaki yamo kwa kweli![]()
Naomba leo nikununulie chai mgonjwa wangu/wetuAsante sana
Hivi kumbe kuna shingo paleee??
Ni vizuri vinakaa tumboni husikii njaa mapema!!
Mi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint AnneNdio kusema mmetuamulia???
Kwamba mlipanga Leo iwe hivi??
Ohhh hapo sina la kusema!
Hii likizo jamani tuambiane, na krismas hizi tenaaaa.
Nchi gani mkuu unaelekea???




Shingo!!!?? 🤣🤣🤣 Wapi hapoo???Hivi kumbe kuna shingo paleee??
Inatembea.Hannah hii gari inakwenda hapa au umesimama?? Usiwege unabana miguu hivyo utakuja kuumia bure aiseeee
hahahahahaJuzi mngeshinda nilikuandalia bonge la sapriz![]()
Jamani kumbe ulikuwa haujui? .Saint Anne naye katupia. Hivi Hannah na wewe ni nyumbani?
Naomba leo nikununulie chai mgonjwa wangu/wetu
Kumbeeee??? Sio vibaya bestyyyy. Hawa watu wa Mbeya umoja wao si wa kitoto ndio wakaamua wawe na chui chui dayMi nimevamia tu na kuwasindikiza naona mwanzilishi ni Saint Anne
Jamani kumbe ulikuwa haujui? .