Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana nilisema haihusiani na member yeyote wa jf,
umesahau shuleni zile sentence Juma is going to school mbona tumesoma na akina Juma wengi tu, ni mfano mkuu sio wewe.
au umenuna, basi nisamehe bure.
🤣🤣🤣🤣 .... Its ok usiwaze!! Sasa hilo limekaa tenge kidogo kulingana na historia yangu humu! It's ok its ok yameisha relax!
 
Time
20211213_160920.jpg
 
Tatizo sio kunikasirisha tatizo ni kwamba kila mmoja ashamove on na maisha yake... Ana mtu mwingine nami nina mwanaume mwingine just imagine nipo kazini nimeletewa hio picha nijibu mashtaka! Leo badala ya kuja kuchukuliwa kupelekwa kula lunch nimeletewa hio picha nijibu tuhuma. Nimepanic na mchana nimekosa hamu ya kula tena!
Pole dear
 
Pole yaani.
 
Back
Top Bottom