Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna mfano namna naku miss mama mtumishi.

Mimi pia sikwenda.

Majukumu yalinizidi nguvu kama unavoweza kuona hapa.

Jitahidi katikati ya wiki uende walau kwenye fellowshipView attachment 2042540
Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana.
Nitajitahidi nihudhurie [emoji120]


Mimi jana mvua imenirudisha[emoji85].

Usipotee sana baba mtumishi,
Hadi nakutafuta hivi jamani!

Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe[emoji847]
 
Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeye

Huwa nabarikiwa sana kuiskiliza hii katika meditations zangu za hapa na pale


Baba chukua wimbo huo..NIJAZE
Ni wimbo wangu bora zaidi wa muda wote.

Siku moja nipeleke anapoabudu huyu mtumishi mwenzetu John Lisu..tukaabudu naye pamoja.
 

Attachments

Mvua ya mawe,
Nachotaka kusema, acheni kujifanya wachambuzi wa kijeshi kama hujui hayo mambo!

Wachambuzi wa kijeshi wa jf hiki chombo kikifoka wengi wenu mnaachwa hamna kumbu kumbu zozote![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Name this m*fvckView attachment 2042051
PK Machine Gun [emoji854][emoji854]
 
Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana.
Nitajitahidi nihudhurie [emoji120]


Mimi jana mvua imenirudisha[emoji85].

Usipotee sana baba mtumishi,
Hadi nakutafuta hivi jamani!

Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe[emoji847]
Amen, na ikawe kama utamanivyo moyoni mwako.

Sipotei, nikisahau kuja huku tataonane kule mtaa mwingine.

Selfie ni usiku mataga wakilala 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom