Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba chukua wimbo huo..NIJAZE
Ni wimbo wangu bora zaidi wa muda wote.

Siku moja nipeleke anapoabudu huyu mtumishi mwenzetu John Lisu..tukaabudu naye pamoja.
Naam, wimbo umejaa uwepo wa Bwana.

John Lissu anasali kanisa gani mama mtumishi? I mean mkoa gani?

Ahsante kwa hii 'singo'
 
JPEG_20211213_134650_2139356920394177446.jpg
 
Ndyo shem ex, [emoji23][emoji23][emoji23]
cc Saint Anne kwanin mmeachana? Wee hutaki tunywe Jack Daniel's za 150k [emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana mi ningekuwa wake
Ila niyeye tu na mapepe yake
Vile alivyo bomba watu anawabamba mimi nahisi sitakuwa pekeyangu[emoji444][emoji444][emoji444]

Inawezekana yeye angekuwa wangu
Ila nahisi atautesa moyo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]


Ray C&squizer[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]

Old is gold.
 
Back
Top Bottom