Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
watoto wazuri wa jf😍, wekeni vyuma sasa, shemeji yenu leo nampost si muda mrefu, halafu sasa mzigo umeongezeka balaa.
Huku Tanga tunasema Mashaallah! Mguu ndiwo...😋😋😋
Home , Sweet Home!!!
Ewaaaaah [emoji7][emoji7][emoji7]Unaonaje huyu akawa shem wako??
Hana drama kama baba Jack Daniels.
Yaan nmeshtuka sana mno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ndefu hiyo..basi tu nilivyokaa.
Kna mwanafunz alikula boom lote sku 1 club, itakua alinunua hizo Jack DanielsDon huyo.
Sis na ww si ndo we train for war and fight to win,,, andika proposal PK zistaafishwe sasa,, muhamie kwenye M2 za 50 CalPK Machine Gun [emoji854][emoji854]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbna mtu smart sana? Au mie ndo sijui?Ana drama sana.
Nilianza kuugua presha ya kupanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi?Wewe unacheka umeiona miamba[emoji3]?
Inawezekana sikujua kama namtesa[emoji29][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee ulizidi mtesa cc angu, lol
Mtakatifu anywe pombe??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c unamfundisha jaman au?
Ni aina mojawapo ya starehe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iv mtu ananunua pombe ya 150k, afu chupa 1, yaan watu wana pesa za kucheezea wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaonaje huyu akawa shem wako??
Hana drama kama baba Jack Daniels.
[emoji22]Ana drama sana.
Nilianza kuugua presha ya kupanda.
Hii miguu kama nimeshawahi kuiona sehemu, lakini siikumbuki ni wapi![emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Uwa sina mambo mengi kabisa hadi leo nabaki najiuliza kwann Mtakatifu kaniacha[emoji21] labda sababu ni Jack Daniels[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbna mtu smart sana? Au mie ndo sijui?
Jack Palladino hebu eleza hapa kwan [emoji23][emoji23][emoji23]