CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Okay ma'amMi nimetamka! Miaka hiyo Nakumbuka Tulikua tunaangalia muvi za kina cheknoris na anodi shozniga kwenye mabanda ya video
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay ma'amMi nimetamka! Miaka hiyo Nakumbuka Tulikua tunaangalia muvi za kina cheknoris na anodi shozniga kwenye mabanda ya video
Inavutia haswaa kama ukipiga picha!

Naona Aibu ujue

Baba huyo amekujaHujambo mama mtumishi? sina shaka ibada ilikua yenye baraka sana jana

mlongo usiniambie umepanda Tavavili? 

Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeyeKaribu na wewe Mungu wangu
Karibu zaidi Bwana wangu
Siku zote niwe karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Pep karibu tuimbeView attachment 2042522
Babe mambozWhere are you babe@Valentina
HahaaaWenzako wanachangamshana damu na mabeibee...mfano valeeee