Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shusha nondo za prof j hapa na Mangwair tutaongea lugha moja.

Hizo za wabana pua huwa siangalii[emoji38]
Zaaaallliii la mentaliii
Lilinikuta wakati mi nna njaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaaa[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] katika mtaa[emoji444][emoji444][emoji444]
 
View attachment 2041874
Dalali wa kibongo.
Low mileage
Ina mwezi tu toka itoke Japan
Unyama ni mwingi, chuma ya motooo[emoji91][emoji91][emoji91]
Kubadilishana inaruhusiwa.
Full options
push to start
new model
Mikoani inafika
Usajili na kila kitu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wakati mteja anachohitaji ni maneno mazuri kutoka Kwa seller ili atoe mzigo

Upo vzr kwenye marketing [emoji28] gari kali

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Zaaaallliii la mentaliii
Lilinikuta wakati mi nna njaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaaa[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] katika mtaa[emoji444][emoji444][emoji444]
Naitwa Vicky
Nina miaka 22
Ni mtoto wa pekee kwenye familia ya kitajiri.

Oh naitwa Jay[emoji1].....

That time when Music was music.
 
Zaaaallliii la mentaliii
Lilinikuta wakati mi nna njaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaaa[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] katika mtaa[emoji444][emoji444][emoji444]
Sasa hapo ndo unakosea ,anatakiwa aimbe wa kiume
 
Back
Top Bottom