Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Urudie tena au nitume mwingine?Nimeusikia vizuriii
Urudie tena au nitume mwingine?Nimeusikia vizuriii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waameachan, na karudi Roman catholicUnaweza kuwa diamond
Unaweza kuwa jay
Unaweza kuwa jaydee
Unaweza kuwa Ray
Elimu ngao yako
Kipaji mali yako.
Wakati wako ndiyo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa
Jishughulishe utapata.
Jamaa kabla halijaslim na kuolewa kenya lilikuwa kali sana kwenye mistari.
Benard Paul.View attachment 2041871
Muache bwanaHahahaaa so ushalainika kwa Saint Anne ??
Nimechoka gari za 2009 unaambiwa new model😅Kuna wakati mteja anachohitaji ni maneno mazuri kutoka Kwa seller ili atoe mzigo
Upo vzr kwenye marketing [emoji28] gari kali
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa wewe tu maisha matamu sana ujue!!![emoji854][emoji12]Mkate sio mimi lakini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kalienda kudai talaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waameachan, na karudi Roman catholic
cha kuolea mkuu
Nyumba imefanyaje!!Ile pale iliyochutama
Sawale, siku ya graduation 4m 4 nilicheza dance, viuno nilivyowasha siku hyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wimbo pendwa.Naupenda ule wimbo wake wa sawale
Jamaa huu wimbo aliua[emoji119]
Tuma tena na tena !!Urudie tena au nitume mwingine?
Uzuri mimi daktari nitamganga[emoji38]Nyooooooo... Lee thubutuuuu uone nesi atavokuchoma sindano ya paralysis!!
Imeinama kama inataka kudondoka[emoji1787]Nyumba imefanyaje!!
Ah hii ngoma gari hata ikipita nje na church unaweza jikuta unatikisa kichwa.Sawale, siku ya graduation 4m 4 nilicheza dance, viuno nilivyowasha siku hyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wimbo pendwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zaaaallliii la mentaliii
Lilinikuta wakati mi nna njaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaaa[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] katika mtaa[emoji444][emoji444][emoji444]
Na kama matamu hivi nikiwa mgonjwa nikipona itakuwaje...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa wewe tu maisha matamu sana ujue!!![emoji854][emoji12]
Dah afadhali.Huyo hapo nimemuacha!! Lee mtakatifu anakuita
Lol... Ngoja niusikilize au wa mtakatifu??[emoji15]
huo mwingine chaguo la mr dj