Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,515
- 235,222
Haichuji yaani.[emoji23][emoji23][emoji23] afu haichuji hii ngoma, na inapendwa sana ktk dance hasa mashulen, wimbo huu ni viuno kwa kwenda mbele, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inanoga sana kwenye sherehe