Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Utamuua valeBebe wake nimechangamsha naye damu mwaka mzima hadi nimekinai[emoji12]
Nikimtaka namrudisha tu.
Utamuua valeBebe wake nimechangamsha naye damu mwaka mzima hadi nimekinai[emoji12]
Nikimtaka namrudisha tu.
Nimeogopa eti nimeona kichupi na bra tu!! [emoji854][emoji854][emoji854]Wimbo wa mr flavour mzuri usikilizee
Sawa naimba kiumeSasa hapo ndo unakosea ,anatakiwa aimbe wa kiume
Mbeya inantamanisha kuishi sababu ya kuwa na gharama ndogo za kuishi, tatizo Kuna vibaka balaa. Na Mimi mpenda kutemmbea usiku na kusafiri usiku ndio hatari.My city,green city....MBEYA[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]View attachment 2041753
Hahahahaha ni cover walivouweka , upitiee uone jamaa anavomsifiaa mwanamke anayempendaNimeogopa eti nimeona kichupi na bra tu!! [emoji854][emoji854][emoji854]
Hawezi kufa,Utamuua vale
🤣🤣🤣🤣Sawa naimba kiume
Nasema njooo
We sista sista nikutambulishe kiumeni.
Nikutambulishe kwa masela.
Chegge,Mangwair[emoji38]
Yakaishiaa wapiHawezi kufa,
Cha moto tu ndio atakiona[emoji1][emoji1][emoji1]
Huyo bebe wake muda kama huu nilikuwa namshushia verse hizo za wabana pua.
Nimeiona nyumba yetu pale mlimani[emoji23]Mbeya inantamanisha kuishi sababu ya kuwa na gharama ndogo za kuishi, tatizo Kuna vibaka balaa. Na Mimi mpenda kutemmbea usiku na kusafiri usiku ndio hatari.
Kuna siku nimefika saa Tisa night nkakutana nao, bahati nzuri nilikuwa na mwenyeji la sivyo ingekuwa balaa.
Juzi nimelala lodge maeneo ya Soweto, mida ya saa Saba night Kali nipo busy napambana na report naskia huko nje barabarani mwizi anapigwa, mwanaume analia kama mtoto wa kike.
All in all Mbeya kuzuri.View attachment 2041890View attachment 2041891
Mhhh wee kwa ukongwe gani ulonao mpaka unajua zilotukisa Enzi hizo?? Wakati juzijuzi tu Umemaliza advance...nasahii bado unasoma au ndo elimu haina mwisho!!!Nataka hiphop[emoji38]
Ila huo nilioutaja ulitikisa sana kqwnye sherehe ,,,na hauboi kuusikiliza.
Tupia CNN ya fid q na mangwair.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asantee kwa taatifa...miaka 30 sio mchezoMhhh wee kwa ukongwe gani ulonao mpaka unajua zilotukisa Enzi hizo?? Wakati juzijuzi tu Umemaliza advance...nasahii bado unasoma au ndo elimu haina mwisho!!!
Mimi mkubwa.Mhhh wee kwa ukongwe gani ulonao mpaka unajua zilotukisa Enzi hizo?? Wakati juzijuzi tu Umemaliza advance...nasahii bado unasoma au ndo elimu haina mwisho!!!
Nyooooooo... Lee thubutuuuu uone nesi atavokuchoma sindano ya paralysis!![emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio nataka kama ile
Leo aweke japo kifua[emoji2088]
Jini mkata kamba akapita[emoji23]Yakaishiaa wapi
Najipendaaaa sanaNyooooooo... Lee thubutuuuu uone nesi atavokuchoma sindano ya paralysis!!
Hahahaaa so ushalainika kwa Saint Anne ??Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twende mlongo.Twende kule kimasikhara
Ambaye ni valeeJini mkata kamba akapita![]()
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Kama langu vile [emoji18]View attachment 2041479