Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
😂😂😂keki unaweza ichukulia poa ila ina umbua mbaya siku ile niliaibika sana vitoto vya dada zangu vinakuja jikoni vinachungulia Odo keki bado kumbe kitu ugaliii😂😂😂😂Mimi hivyohivyo.
Watu walikuwa waisubiri wale,nikajitoa kimasomaso kupika.
Bora hata ingekuwa ugali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haikuiva kabisa,ilikuwa inafurumia tu hapo jukoni..blue band inateketa tu pale juu inatoa povu.
Nilichochea usiku kucha,nateketeza tu mkaa lakini wapi.
Ni miaka 6 sasa imepita,ndio nimejaribu tena leo.