Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Mhm [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Naomba nielekeze nami nipike!!Subiria hapohapo[emoji38]
Mhm [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Naomba nielekeze nami nipike!!Subiria hapohapo[emoji38]
Nimekoroga koroga tu mayai blueband na unga,nikaweka moto juu na chini[emoji16]Mhm [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Naomba nielekeze nami nipike!!
Asante. kukoroga Koroga tu jamani inaonekana tamu! Ingredients ni hizo tu??? Vipi chumvi mafuta ama?? Nipe procedures hata kwa ufupi tuNimekoroga koroga tu mayai blueband na unga,nikaweka moto juu na chini[emoji16]
Blueband unaiyeyusha kwanza??Nimekoroga koroga tu mayai blueband na unga,nikaweka moto juu na chini[emoji16]
Hapana.Blueband unaiyeyusha kwanza??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Njoo uchukue,
Sipiti huko leo.
Cooking oil je hatuweki??Hapana.
Naweka blue band na sukari ,nachanganya hadi inakuwa kama uji.
Ntajaribu nione.sema maelekezo yako nusunusu sasa Ila ntajaribu ivoivoHapana.
Naweka blue band na sukari ,nachanganya hadi inakuwa kama uji.
MweeeAsante. kukoroga Koroga tu jamani inaonekana tamu! Ingredients ni hizo tu??? Vipi chumvi mafuta ama?? Nipe procedures hata kwa ufupi tu
Asante dear. Will try ntaleta mrejesho!Mweee
Hebu wataalam njoeni[emoji1787]
Mimi nina uexpert gani wa kuelekeza mtu na wakati nimebahatisha[emoji1787].
Nimeanza blue band na sukari,
Nikakoroga sana hadi sukari ikayeyuka kabisa mchanganyiko ukawa kama uji.
Nikaja mayai,nimeyapasua nikayakoroga sana hadi yakatoa povu..
Nikatia limao kidogo kuyatoa shombo.
Nikayachanganya kwenye mchanganyiko wa blueband na sukari.
Nikaja unga,
Nikakoroga hadi size niliyoona inafaa ,,
Nikapaka blue band kidogo kwenye sufuria ili keki isinase chini na ichomoke vizuri.
Mchanganyiko nikaumimina kwenye sufuria.
Nikaweka moto juu na chini ninaoona unafaa.
Nb :usije ukajiroga ukazidisha blue band.
Keki haikauki hata upike mchana kutwa usiku kucha.
HapanaCooking oil je hatuweki??
Asante unaweka pink poda au ni mchanganyiko huuMweee
Hebu wataalam njoeni[emoji1787]
Mimi nina uexpert gani wa kuelekeza mtu na wakati nimebahatisha[emoji1787].
Nimeanza blue band na sukari,
Nikakoroga sana hadi sukari ikayeyuka kabisa mchanganyiko ukawa kama uji.
Nikaja mayai,nimeyapasua nikayakoroga sana hadi yakatoa povu..
Nikatia limao kidogo kuyatoa shombo.
Nikayachanganya kwenye mchanganyiko wa blueband na sukari.
Nikaja unga,nikawa natia kidogo kidogo kwenye mchanganyiko huku nakoroga.
Nikakoroga hadi size niliyoona inafaa ,,
Nikapaka blue band kidogo kwenye sufuria ili keki isinase chini na ichomoke vizuri.
Mchanganyiko nikaumimina kwenye sufuria.
Nikaweka moto juu na chini ninaoona unafaa.
Nb :usije ukajiroga ukazidisha blue band.
Keki haikauki hata upike mchana kutwa usiku kucha.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Asante dear. Will try ntaleta mrejesho!
Hahahaaa.. nawewe umedesa hahahaaa.. karibu tusisahau mrejesho!Asante unaweka pink poda au ni mchanganyiko huu
Halafu kuna kitu niliagizwa huko ila najisikia uvivu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda kupika keki ila tatizo nikipika inakuwa mbichi kati haitunii😬😬😬Hahahaaa.. nawewe umedesa hahahaaa.. karibu tusisahau mrejesho!
Japo hata haijachambuka kihivyo[emoji38]
Wataalam mtanifundisha,niongeze nini nipunguze nini.View attachment 2040335
Sijaweka powder yoyote zaidi ya hivyo vitu tu hapo juu dear.Asante unaweka pink poda au ni mchanganyiko huu
[emoji7]Beach hiyo, achana na hao mbu walioning'ata mkononi[emoji12] happy weekinding day [emoji8]
View attachment 2040381
Pole mrembo mbu wamekushambulia