Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Aisee imetuna vizuri kama umeweka❤️Sijaweka powder yoyote zaidi ya hivyo vitu tu hapo juu dear.
Aisee imetuna vizuri kama umeweka❤️Sijaweka powder yoyote zaidi ya hivyo vitu tu hapo juu dear.
Hili dongo ujue!!
Next week nataka nijilipue nijaribu sambusa
Yaani na huu uzee wote sijawahi pika sambusa,ni fedheha sana![]()


!!unataka ivimbe kati sio...Napenda kupika keki ila tatizo nikipika inakuwa mbichi kati haitunii😬😬😬
Uliza ya kwangu ilikuwaje mara ya kwanzaUmeweza bhana ,mara ya kwanza watu hutoa vituko mara iungue tena kwenye mkaa .
Dawa ya cake ni ile mixer na oven tu





Raha ya keki ivimbe kote😜😂😂😂unataka ivimbe kati sio...
Nimenenepa sana nkamu sijui hata ni nini wakatu nna stress vibaya mno😒
Nkamu umenenepa
ImenihurumiaAisee imetuna vizuri kama umeweka![]()

Yaani na nikijikuna tu navimbaa😒Pole mrembo mbu wamekushambulia
Koroga vizuri mayai hadi yatoe povu na usizidishe sana unga.Napenda kupika keki ila tatizo nikipika inakuwa mbichi kati haitunii![]()
Maisha yamekukubali.Nimenenepa sana nkamu sijui hata ni nini wakatu nna stress vibaya mno![]()
Niliwahi sema humu kuwa sijui kupika sambusa na chapati za majiHili dongo ujue!!!!






Wapi maisha magumu tu haya😜Maisha yamekukubali.
Kunenepa ni kuridhika.
Mimi nimejifunza keki kwa sasa nimesusa mara ya mwisho niliwakaribisha dada zangu home nikawataarifu kuna keki kilichotokea ugali badala ya keki😬😬Uliza ya kwangu ilikuwaje mara ya kwanza
Bora hata ingeungua.
Ilikuwa inachemka tu kama uji ,nilichochea usiku kucha
Nilijaza blueband.
Tangu hapo niliachana kabisa na habari za keki.
Uliza ya kwangu ilikuwaje mara ya kwanza
Bora hata ingeungua.
Ilikuwa inachemka tu kama uji ,nilichochea usiku kucha
Nilijaza blueband.
Tangu hapo niliachana kabisa na habari za keki.
Mimi hivyohivyo.Mimi nimejifunza keki kwa sasa nimesusa mara ya mwisho niliwakaribisha dada zangu home nikawataarifu kuna keki kilichotokea ugali badala ya keki![]()




Nilidhani ni mimi tu nnayetia aibu, sijawahi kupika hii ila natamani, ukipika utupe receipe yake dear
Next week nataka nijilipue nijaribu sambusa
Yaani na huu uzee wote sijawahi pika sambusa,ni fedheha sana![]()
Mimi kubalance moto wa mkaa siyo shida kabisa kwangu..sijui kwa vile nimezoea chapatu nacheza sana na kiwango cha moto.Yaani keki mimi nimechukia kupikia kwenye mkaa yaani siku hizi mpaka niende kwa watu wenye oven dah au ninunue tu nile ..
Mwanzo mgumu dah unaweza ukapika vichekesho kabisa .
Najua ninatoa kitukoNilidhani ni mimi tu nnayetia aibu, sijawahi kupika hii ila natamani, ukipika utupe receipe yake dear





mie mkaa unanichosha inachelewesha hivi then hapo upo excited unaisubiri ule kwa hamu .Mimi kubalance moto wa mkaa siyo shida kabisa kwangu..sijui kwa vile nimezoea chapatu nacheza sana na kiwango cha moto.
Labda inizingue tu kwenye kukanda.
