financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,512
Aah huwa napuliza dawa tu chandarua nasikia uvivu kushusha na kupandisha😀Uwe unatumia chandarua
Aah huwa napuliza dawa tu chandarua nasikia uvivu kushusha na kupandisha😀Uwe unatumia chandarua
😂😂 why uwe mbu ili uning'ate eehbora ningekua umbu tuu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]I'm trying
I've tried.
Asante Lizzy kwa kunimotivate,na mimi nimejaribu kupika [emoji38]
Sina oven,nimepikia mkaa.
missyrose
Lizzy View attachment 2040317View attachment 2040320View attachment 2040319View attachment 2040321
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Njoo uchukue[emoji38]View attachment 2040332View attachment 2040333
[emoji7][emoji7][emoji7] cc kipenzi n beach gan? Matema?[emoji23][emoji23][emoji23]Beach hiyo, achana na hao mbu walioning'ata mkononi[emoji12] happy weekinding day [emoji8]
View attachment 2040381
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliza ya kwangu ilikuwaje mara ya kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora hata ingeungua.
Sina hamu na blueband.
Ilikuwa inachemka tu kama uji ,nilichochea usiku kucha[emoji1787]
Nilijaza blueband.
Tangu hapo niliachana kabisa na habari za keki.
Mwenyeji uwage unanichukua na mie tutalii wote, uchoyo huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio kalumbu....ningekung'ata kila sehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] why uwe mbu ili uning'ate eeh
Usivo na adabu ungeng'ata hadi papuchi wewe😂😂 ila ningekupa konzi ufie huko huko kwenye papuchi😂ndio kalumbu....ningekung'ata kila sehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo wengine mnaogopa maji sasa🥴🥴⛴⛴Mwenyeji uwage unanichukua na mie tutalii wote, uchoyo huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katoto unakufahmu matema ? Aisee umetisha sanaa[emoji7][emoji7][emoji7] cc kipenzi n beach gan? Matema?[emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran!! Nshakaribia nasikilizia mvua hapa 🥴Karibuuuu
Inanyesha huko???Shukran!! Nshakaribia nasikilizia mvua hapa 🥴
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndo pagumu, mie nlitaka kufia kwenye maji wakat nipo 4m 1, tangu hapo maji nayaogopa mno.Tatizo wengine mnaogopa maji sasa[emoji3061][emoji3061][emoji925][emoji925]
Uje tunywe fresh pineapple juice 🥤🙂Lukmaan
Sipafamu ila kna ndugu Yang alisoma huko, ndo akawa ananisimulia habari za hiyo beach.Katoto unakufahmu matema ? Aisee umetisha sanaa
YuppInanyesha huko???