Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,692
Loooh unajua nilisahauLile jibu ndio halijatoka mpaka Leo usinifanyie hivo
Nakupenda pis

Loooh unajua nilisahauLile jibu ndio halijatoka mpaka Leo usinifanyie hivo

Mnoumenkumbusha kitu iv aah, ila watu wanaona kwenda nje n big deal sana.
Maana hautoshi kwnye screen, inabidi ubonyeze button ya panorama iweze kucapture upana woooote 🤣Camera inakataa kabisa
Inaona naionea![]()
Kwani nyi watoto mnakula nini humu Eeeh? Mashepu kama yote. Na dimpoz tuwekee
KhaaaMaana hautoshi kwnye screen, inabidi ubonyeze button ya panorama iweze kucapture upana woooote![]()






Aisee we ni mchoyo,hata sitaki unidai picha(natania)Selfika nkuone bas nawee,
Heeeusivaage bhana, ujue nimecheka sana hapa?








Sijui bei yakeUnaijua bei yake now?![]()

Uliza mwenyeji yoyote hapo atakuelekeza.Hata sijui nikujibu vipi. Nifundishe please
Upo Uyole?Leo uzi umetulia tuliii Kama jiji la mbeya especially UYOLE
Mimi nipo ilomba mkuuUpo Uyole?
Ndio boss near sijabaja hospUpo Uyole?
Upo mbeya kumbeMimi nipo ilomba mkuu
Hata Mimi Sina sababu ya kumchukiaNaomba wote mjue nampenda Valentina
Wenyeji..... aaaaghUliza mwenyeji yoyote hapo atakuelekeza.
Wewe upo kwenye miji ya watuMimi nipo ilomba mkuu
NdiyoUpo mbeya kumbe
Hutaki kukutana na sisi wenyeji mkuu?Wewe upo kwenye miji ya watu
Haya, nimezurura kiasi Leo kwenye mji wenu.Ndio boss near sijabaja hosp