Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
Ina maana sura yangu imenisaliti [emoji28] aisee
kabisaaa imekusaliti[emoji3]
Ina maana sura yangu imenisaliti [emoji28] aisee
Bia tamuSio kweli
Hahahahhaha gari za kazi LCHaha unafikiri hawaelewi mkuu wanaelewa sana sema wanajifyatua akili tu! Eti kisa hizo Land Cruiser hazina demand kubwa sana huko Europe na North America basi ndiyo wanazidharau na kuzishusha thamani!
Sasa barabara zetu hizi watafananisha na za huko dunia ya kwanza! Kutumia masaa manne Dar-Dom si mchezo mtu anafukia matuta na rasta chap tu halafu unamchukulia poa wakati BMW sedan kwenye matuta hadi ubembeleze!
Apo ndo studio nitawalipia umeme bureeeeAingie Mwanachama Cha che chiiiiiiiiiiii!!!
🤗🤗Bia tamu
Lkn ni misengenyo isiyoumiza 🤣Naona vile mnanisengenya jirani [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]hela ya jezi sinaJmos mechi jezi inavaliwa au ndo mpka manara arudi
Ila vale, babe wako ana kazi ya ziada[emoji23][emoji23][emoji23]hela ya jezi sina
[emoji7][emoji7][emoji7]
Hebu anza kutupia yako babe [emoji9]Yaliyopita tumeachana nayo babe...weka hapa nilale vzr
Amna kitu humo altutisha sana na vigodoro huyuBarbie biiii... Zile picha zake za bdei hakuna kitu umezifanyia? Extrovert View attachment 2038738
JamaniiiiiApo ndo studio nitawalipia umeme bureeee
Jirani yangu masengenyo sio mazuri ujue[emoji12]Lkn ni misengenyo isiyoumiza [emoji1787]
Nikupitie ? Napita karibia na kwako?Jamaniiiii
Kwa hiyo jez mpaka wa leo😃😃😃😃Jirani yangu masengenyo sio mazuri ujue[emoji12]
Sasa kidoti kingekaa puani mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23]Usoni unakuwa Una Alana hadi siyo poa,ukipiga tukio utasikia yule mwenye kidoti/dimples,,inabidi uwe mpoleView attachment 2038689View attachment 2038690
Mhmmhmm!!🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃Nikupitie ? Napita karibia na kwako?
Kweli au ushalala 😀😀😀Mhmmhmm!!🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃
[emoji23][emoji23]mambo yalichanganyikana banaKwa hiyo jez mpaka wa leo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]