Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,373
Ok..nicheki nipo freeNakutafuta
Kuna mahali naomba utokezee now now yaan...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ok..nicheki nipo freeNakutafuta
Kuna mahali naomba utokezee now now yaan...
Za kulalia[emoji3064]Za usiku!! [emoji2956]
Mwanangu huoni trend ya mabishano? ukipandisha juu kidogo km 5 days ago kulikuwa na vita ya maana hapa.kuna watu wanajibizina hayo maswala.Huu uzi una mashoga kwani🥸??? Dah ufala kweli yani
Umeachika?
Im outta here mzeeMwanangu huoni trend ya mabishano? ukipandisha juu kidogo km 5 days ago kulikuwa na vita ya maana hapa.kuna watu wanajibizina hayo maswala.
Mtu unaamua ufungue Uzi uangalie picha unakuta story za mashoga na maresbian,wengine wanapinga wengine wanasuport
Basi unaamua kupita kimyakimya Tu bila salamu na yeyote
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sina babe we ndo unaanza kunibikiri swiryBabe hivi na ww una ex humu?
Asee[emoji44]..wewe na Depal ni warembo sn
Una mchumba humu? Watu tunataka tujilipue9 disemba[emoji120]View attachment 2038638
Ooh kumbe uliulizia wimbo? Nimeachika kaimba amber Lulu
December hii[emoji41]Umeachika?
Kumbe[emoji120]Ooh kumbe uliulizia wimbo? Nimeachika kaimba amber Lulu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu japo kuna Bimmer maniacs huwa hawataki kukubali hili. Kuna uzi kule wa Bimmer vs LC V8 jamaa alipost video anashindana na V8 yeye ndiyo alikuwa kwenye Bimmer V8 ikampita hadi leo ule uzi bado unatembea watu wanabishana tu Bimmer maniacs wameuvamia hatari.Hao ni excluded kabisaaaa bahat nzuri Nina experience nazo mjep hapo hakubahatisha
Ingekuwa inazibika,ningeziba,yaani mtu una alama usoni ni shida[emoji2440]Asee[emoji44]..wewe na Depal mna dimpoz nzuri sn
Yani shavu limetoboka kbs
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni mimi pekee sina Dimpoziii
Ahaha [emoji28]usisepe mzee,hizi Stori zimetamalaki karibia kila mahali hapa jf siku hizi za karibuniIm outta here mzee
Watu walishajilipua na wakajilipua nakuambia wamelipuka,wamelipukaaaaaaUna mchumba humu? Watu tunataka tujilipue
Muna loveNi mimi pekee sina Dimpoziii
Cc.@Depal
Aisee Ngoja niwahi seat kabisaDecember hii[emoji41]