Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,695
Njema babaBinti habari
Njema babaBinti habari
January pili mkuu wangu@billdrago unageuka lini from my - Ira?
Salimia baba zako wakubwaNjema baba
NasubiriWanasemaga nipe muda nifikirie
Nipe dk sifuri![]()
Shikamoo baba kubwaSalimia baba zako wakubwa
UsijaliNasubiri

Good 🤣🤣🤣🤣
Haha unafikiri hawaelewi mkuu wanaelewa sana sema wanajifyatua akili tu! Eti kisa hizo Land Cruiser hazina demand kubwa sana huko Europe na North America basi ndiyo wanazidharau na kuzishusha thamani!Nissan Y62 ni mean machine aisee tena inaweza kuzibomoa BMW nyingi tu kwa Engine size na Power sema wabongo tumezidi dharau!
Nasubiri LC300 ziingie kwenye mass production ili serikali wazinunue nyingi kisha watu wataelewa mziki wake kipande cha Dar-Dom!
Marahaba binti yanguShikamoo baba kubwa
Yeah wengi wameishia hapo kwenye 3 series na hizi X5 tu ila wanavyowavimbia wazee wa mkonga utadhani wanaendesha M Competition au kitu gani sijuiKwa real experience ya gari wengi hawajawahi panda any of those carslabda 3 series ila 5 series wachache sana wamezionja tena long trip! Hata VX-R zenyewe ila wanabishana
![]()


Nikajua ulitekwaa😄😄😄😄Nipo lee nilikua bize na vishughuli kidoooogooo !!
Bado kidogo 🤣Ulale
Vale yuko wapiBado kidogo 🤣
Yuko wasap hukoVale yuko wapi
Hahahahah na babe wakeeYuko wasap huko