Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanaenda kanisa kama tamaduni mkuu. Mtu hawezi kuwa anafurahi juu ya dhambi flani au kuisifia nikamuunga mkono ni sawa na kushiriki dhambi zake.. kitu ambacho hakina afya kwa nafsi yangu na roho yangu.
Onyesha watu walipofurahia huo ushoga.


Zaidi watu wapo kuuupamba ulevi kwa hali na mali na hauwaoni.
Na hata wewe kwenye mfano wako unampamba aliyesema amemkula mwanamke ambayo nayo ni dhambi,ila umeona ana afadhali.

Kama ni hivi hata wewe unaenda kanisani kukamilisha ratiba tu.
 
Dhambi zote ni sawa na zote zinasameheka endapo mtu atatubu.
Kinachotofautiana ni madhara ya dhambi

Mfano mtu aliyeuwa akitubu kwa Muumba atasamehewa,,ila jela duniani inamngoja.
Asipotubu ni motoni.

Mtu msengenyaji akutubu kwa Muumba atasamehewa,lakini yawezekana amesengenya duniani na hajabainika akaishi kawaida tu,,,
Asipotubu ni motoni.


Hakuna dhambi nzuri wala dhambi mbaya,
Dhambi zote ni aibu,,inategemea sasa mtu anaichukuliaje hiyo dhambi ila maandiko yako wazi kabisa na yameorodhesga zote kwenye aya moja ,,iwe uongo,uzinzi,ulevi.
Inashangaza kuona watu wanachomoa baadhi ya dhambi na kuziona zinafaa ila nyingine hazifai!
Hivi hili jambo mnalo linganisha mpotayali kulipokea majumbani kwenu au vile lipo kwa wenzenu mnaona sawa tu.

Hivi kweli mtoto wako wakiume akuletee mabasha ndani mwako?

Tuukatae ushoga japo kwa kunyamazia hatua zao
 
Hivi hili jambo mnalo linganisha mpotayali kulipokea majumbani kwenu au vile lipo kwa wenzenu mnaona sawa tu.

Hivi kweli mtoto wako wakiume akuletee mabasha ndani mwako?

Tuukatae ushoga japo kwa kunyamazia hatua zao
Hatuongelei mapokeo ya hilo jambo nyumbani mkuu.

Jitahidi kuanza kusoma mada mwanzo ilikoanza kiliko kurukia mwisho.
 
Kwa kweli nimegundua napoteza tu muda wangu na nguvu zangu na hakuna ambaye yuko tayari kukubaliana na mwenzie kwahiyo bora nifunge tu huu mjadala just to save my time and energy! Walionielewa wamenielewa na waliomuelewa wamemuelewa kila mtu abaki na anachoamini simple as that!
Mie ndo maana nilisha achana nae yule, na nilishamuambia asijadili kupitia dini, maana najua ni mweupe wala hajui lolote, akajifaragua ataleta hoja za kisayansi lakini holla,

Achana nao hao wala hawana maajabu yeyote.
 
Hiyo ni yako wewe. Ila hakuna cha dhambi kubwa wala ndogo. Kupiga pumbu ukiwa hujaoa ni dhambi. Kupiga tigo ya mwenzako pia ni dhambi. Vyote hivo visipofanyiwa toba unaenda kuzimu. Acha kujifariji kwamba wewe mzizi una afadhali. Tubu na uache uzinzi mamamae walai............
mbavu zangu mie, uwiiiiiih
 
Waache waendelee kujihesabia haki my dear hawajui mtu jinsi unavyiona dhambi fulani ni mbaya ndivyo unavyotafuta nafasi ya kuitubu hiyo dhambi! Mtu ukishaichukulia dhambi fulani ni ya kawaida basi utabweteka hutatubu ukijua kwamba utasamehewa tu kwa sababu eti kuna watu wenye dhambi kubwa zaidi yako ila hautaamini utakachoenda kukutana nacho!
atakutana na kitu kizito hadi ashangae.
 
IMG_8066.jpg

Msibanii
 
Hebu toa ya kwako yanayotofautisha hizo dhambi,na uweke hayo yanayotoa uafadhali wa dhambi.
Mimi sipo kwa mjadala wala sina maandiko nauliza hivi anaetazama kwa matamanio akapata zambi na alietekeleza tendo watalipwa sawa kama hawajatubu?
 
Pale mwisho wa siku mlevi ,mzinzi ,msengenyaji na shoga wote wanajikuta wanaogelea ziwa la moto.

Neno: Bibilia Takatifu

Mfano Wa Farisayo Na Mtoza Ushuru

9 Yesu alitoa mfano huu kwa ajili ya wale waliojiona kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine. 10 Watu wawili walikwenda hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. 11 yule Farisayo alisimama akasali kimoyomoyo. ‘Ninakushukuru Mungu kwa sababu mimi si kama watu wengine: wany ang’anyi, wadhalimu, wazinzi, au kama huyu mtoza ushuru. 12 Mimi nafunga mara mbili kwa juma na kutoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’ 13 Lakini yule mtoza ushuru alisimama mbali. Hakuthubutu hata kuinua uso wake kutazama mbinguni; bali alijipiga kifuani kwa majuto akasema, ‘Mungu, nihurumie, mimi mwenye dhambi.’
14 Nawaambieni, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu na wala si yule Farisayo. Kwa maana ye yote ajikwezaye atashushwa na ye yote ajinyenyekezaye, atainuliwa.”
Read full chapter

Luke 18:9-14

New International Version

The Parable of the Pharisee and the Tax Collector

9 To some who were confident of their own righteousness and looked down on everyone else, Jesus told this parable: 10 “Two men went up to the temple to pray, one a Pharisee and the other a tax collector. 11 The Pharisee stood by himself and prayed: ‘God, I thank you that I am not like other people—robbers, evildoers, adulterers—or even like this tax collector. 12 I fast twice a week and give a tenth of all I get.’
13 “But the tax collector stood at a distance. He would not even look up to heaven, but beat his breast and said, ‘God, have mercy on me, a sinner.’
14 “I tell you that this man, rather than the other, went home justified before God. For all those who exalt themselves will be humbled,and those who humble themselves will be exalted.
Ahsanteeeeh cc angu,
 
Huwezi nielewa asee.. Mie hapa nikikuambia nimeteoka kumfir@ mwanaume mwenzamgu na nikikuambia nimetoka kulala na grace.. utaona uzito wake mwenyewe kuna vitu havitamkiki kirahisi hata kuvisoma pia vina ukakasi. naongelewa uzito wa jambo yote ni makosa ila uzito si sawa
Kwahiyo kumbe unazungumzia uzito wa mapokeo kwa wanadamu wenzio? Ila kwa MUNGU yote iko ktk mzani sawa? Ndo unafiki wanaoukataa wenzenu huu. Kumbe somo mmelielewa ila mnatafuta Pa kujificha .
 
Back
Top Bottom