Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uliweka ya juice yako,sasa weka ya kwako.
20211209_104021.jpg
 
Unaweza nipa andiko linalo sema dhambi zote ni sawa?

Kuna kutubu, kuna kuomba msahama wa dhambi..

kuna dhambi, kuna uovu na kuna makosa.. kuna laana na kuna kukataliwa

Ukuiona mtu kashushiwa laana, na mwingine kakataliwa ujue vitu havipo sawa
Hebu toa ya kwako yanayotofautisha hizo dhambi,na uweke hayo yanayotoa uafadhali wa dhambi.
 
Back
Top Bottom