Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ah kuna vingine ulikua unapindisha weweKwa video call
Ah kuna vingine ulikua unapindisha weweKwa video call
Wekaaaaa this is chitchat tunachitchatika kwa kwenda mbele!!!Na mimi naruhusiwaa kuweka makopa?
😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Wekaaaaa this is chitchat tunachitchatika kwa kwenda mbele!!!
Atabisha najuaMmmmmmmmmuuuuuuuuaaaaaaaaaahhhhhhh!!![]()
Na yale maandiko kule juu aliyoweka Karma umeyasoma?Huyu sio mimi ni Apostle Pual
Waefeso 5:12
kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.
Pia hujanielewa pia.. ungesoma na kunielewa nilichokuwa nalenga.
Hakuna sehemu nimesema dhambi flani poa.. naelewa athari ya dhambi ila najua weight zake ni tofauti na sisemi tutende dhambi kwasababu ina weight ndogo au kubwa.. Huwezi jua dhambi utayo fanya itakuweka kwemye hatari gani..
Kuna laana, kukataliwa, kupata rehema..
ChangamotoTatizo binadamu ni wabishi sana![]()
You too dear! You look so mmmuaaaahhh!!View attachment 2038041
Happy Uhuru day Tanzania

Mbona unakimbilia kusema sijaelewa badala ujibu swali?Hujaelewa chochote katika yote niliyo andika, ungekuwa umenielewa sidhani kama ungekuja na weka points kama hizi


Kwa kweli nimegundua napoteza tu muda wangu na nguvu zangu na hakuna ambaye yuko tayari kukubaliana na mwenzie kwahiyo bora nifunge tu huu mjadala just to save my time and energy! Walionielewa wamenielewa na waliomuelewa wamemuelewa kila mtu abaki na anachoamini simple as that!Naona rafiki yangu unahangaika na watu waliohalalisha dhambi za kwao kutoziita dhambi ila za wengine wanaziona dhambi.
Haya mahalalisho bila shaka bangi ilihusika.
Okoa nguvu na muda wako.
Uhuru tulio nao ni far from COMPLETE!!
Waache waendelee kujihesabia haki my dear hawajui mtu jinsi unavyiona dhambi fulani ni mbaya ndivyo unavyotafuta nafasi ya kuitubu hiyo dhambi! Mtu ukishaichukulia dhambi fulani ni ya kawaida basi utabweteka hutatubu ukijua kwamba utasamehewa tu kwa sababu eti kuna watu wenye dhambi kubwa zaidi yako ila hautaamini utakachoenda kukutana nacho!Dhambi zote ni sawa na zote zinasameheka endapo mtu atatubu.
Kinachotofautiana ni madhara ya dhambi
Mfano mtu aliyeuwa akitubu kwa Muumba atasamehewa,,ila jela duniani inamngoja.
Asipotubu ni motoni.
Mtu msengenyaji akutubu kwa Muumba atasamehewa,lakini yawezekana amesengenya duniani na hajabainika akaishi kawaida tu,,,
Asipotubu ni motoni.
Hakuna dhambi nzuri wala dhambi mbaya,
Dhambi zote ni aibu,,inategemea sasa mtu anaichukuliaje hiyo dhambi ila maandiko yako wazi kabisa na yameorodhesga zote kwenye aya moja ,,iwe uongo,uzinzi,ulevi.
Inashangaza kuona watu wanachomoa baadhi ya dhambi na kuziona zinafaa ila nyingine hazifai!